Kumbe jaji werema ni mwanachama wa ccm! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe jaji werema ni mwanachama wa ccm!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kanganyoro, Jul 7, 2012.

 1. k

  kanganyoro Senior Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau nimetembelea site ya bunge na kukuta profile ya mwanasheria mkuu wa serikali jaji fredriki mwita werema kuwa ametokana na chama cha mapinduzi kupitia ex officio type of membership. Kwa ninavyojua katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania inazuia kwa mahakimu na majaji kuwa na uanachama wa chama chochote cha siasa wakiwa bado wapo katika utumishi wa umma. Na jaji werema bado ni jaji a mahakama kuu, hajastaafu. Leo akitolewa kwenye uanasheria mkuu anarudi kwenye kazi yake, na ninakukbuka alipoteuliwa kwa mara ya kwanza alisema bungeni kuwa yeye ni mwanasheria mkuu wa serikali, hajawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha kisiasa hapa nchini. Je leo bunge liweje limuandike kwamba ni mbunge anayetokana na chama cha mapinduzi. Je wadau huu si ndiyo uvunjwaji wa katiba? Je ni nani achukuliwe hatua?

  Nawasilisha.
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Werema ni sawa na us.h.uz.i wa kachumbari the way unavyonuka!
   
Loading...