Mabadiliko ya katiba ya zanzibar ya 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabadiliko ya katiba ya zanzibar ya 2011

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by UNDULE ROBERT, May 25, 2011.

 1. U

  UNDULE ROBERT Member

  #1
  May 25, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jf yeyote mwenye mabadiliko hayo tafadhali ayatoe
   
 2. Makaimati

  Makaimati JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 462
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Mkuu mimi nakupa kifungu hichi tu ambacho tunakiona kuwa muhimu:

  Katiba ya Zanzibar ya 1984 inasema;

  (9)(i) Zanzibar itakuwa ni NCHI ya kidemokrasia na haki za kijamii.

  (9)(2)(a) Mamlaka ya kuendesha NCHI ni ya wananchi wenyewe …

  (10) Kwa madhumuni ya kuendeleza umoja na maendeleo ya watu na ustawi wa jamii katika NCHI itakuwa ni wajibu wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar:

  (10)(3) Itadhibiti uchumi wa NCHI kufuatana na misingi na madhumuni yaliyoelezwa na katiba hii.

  (12)(3) Haki za raia, wajibu na maslahi ya kila mtu yatalindwa na kuamuliwa na mahkama pamoja na vyombo vya NCHI na vinginevyo vilivyowekwa na sheria.

  (21)(i) Kila Mzanzibari anayo haki ya kushiriki katika shughuli za utawala wa NCHI…

  (23)(2) Kila mtu ana wajibu wa kulinda maliasili ya Zanzibar, mali ya NCHI pamoja na mali yote inayomilikiwa kwa pamoja na wananchi…
   
 3. U

  UNDULE ROBERT Member

  #3
  May 25, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kaka. Lakini kama una soft copy nzima, naomba uipost
   
 4. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hao wameshafanya uhaini kuigawa nchi ya Jamhuri ya/wa Muungano wa Tanzania sasa sheria haiwaoni? Au mamlaka ziko likizo
   
 5. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hakuna Mabadiliko ya Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 2011, repeat your homework again!
   
 6. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Sijaona umuhimu wa hivyo vifungu ni upi hasa, ni sawa sawa na kujifia na mafuta yasiyokuwepo!
   
 7. Mwananchi Mtanzania

  Mwananchi Mtanzania Member

  #7
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa nini Zanzibar sio mwanachama wa UN?
   
Loading...