Tahadhari Wageni MWANZA! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahadhari Wageni MWANZA!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mjanga, Jul 5, 2012.

 1. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,245
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Nimetinga ndani ya Jiji la Mwanza a.k.a Rocky City, ila kuna jambo limenitisha sana!
  hapa mwanza bwana jamaa wanatisha kwa "KUTEMA MATE" daaaaaaaaaah.. wanatema mate na m****i haooooooooo!
  so wageni mnapotembea mitaani inabidi mchukue tahadhari make swaga zako zinawezatiwa dosari muda wowote,
  hapa nilipo nazikwepa kinoma!
  :rant::alien:
   
 2. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,745
  Likes Received: 542
  Trophy Points: 280
  Dah!kipindi cha baridi hiki,mimba nini?
   
 3. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,245
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  mpaka wanaume?
   
 4. M

  MUNYAMAKWA Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Labda hizi ni athari za mabadiliko ya tabia nchi!!!
   
 5. Kibwebwe

  Kibwebwe JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 797
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Pole mkuu maana kama nakuona vile
   
 6. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  ....................na swaga zake! hahahahaha
   
 7. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Ulikosa cha kuandika!
   
 8. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  mabrazamen nao wamo JF, tuvumiliane tu.
   
 9. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  yaaaaaaaaani post za leo ni full kichefuchefu bin kizunguzungu.
   
 10. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #10
  Jul 6, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Nawewe kama hauna cha kuchangia ni bora ungepotezea bana.
   
 11. N

  NCHABIRONDA JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 238
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wewe kijana naona sasa umekosa adabu! siku nyingine kama umekosa cha kuandika ni bora uwe msomaji2 kama mimi kuliko ku2chafulia hali ya hewa humu JF. Ina maana wewe unaifaham Mwanza vizuri kuliko cc? au ume2mwa na baba yako ili uje humu JF kuichafua Mwanza?
   
Loading...