Nyumbani hotel

viane

Member
Mar 26, 2012
79
18
Naomba kufahama kulala kwenye hizi hotel bei zake ni sh ngapi.....maana nimeona ziko ktk mikoa mingi na ni nzuri. Shukrani.
 
unautani na rzmoja,nshafanya window shopping last yr tanga minmum ni kilo moja pa nite,
ckuamin maskio yngu

ya nikweli, Nyumbani Hotel ya Tanga ni kuanzia laki hadi laki na ishirini kwa siku moja.
 
Moshi kumbe ni laki kwa laki na kumi. Then km wataka kupelekwa air port ni 70000 elfu.
 
Back
Top Bottom