Ggm,Kmcl, Mambo si mazuri. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ggm,Kmcl, Mambo si mazuri.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ondio Osio, Jul 6, 2012.

 1. Ondio Osio

  Ondio Osio Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 11, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kutokana na kuvuma kwa tetesi, toka kwa mashirika ya ifadhi za jamii Nss na Ppf kutoa mafao ya wafanyakazi wa mashirika binafsi na makampuni, ambayo kwa sasa yatafanyika hadi mfanyakazi atakapo fikisha miaka 55 tofauti na ilivokua, unapata mafao yako kwa muda wa miezi 3, hadi kufikia ivi sasa wafanyakazi walio acha kazi Geita gold mining, wamefikia 122 na walioandika barua za kuacha kazi hadi sasa ni 94 , Kahama Mining, wafanyakazi walio acha kazi hadi sasa ni wafanya kazi 67.
   
Loading...