Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu zangu wana jf kama mlimsikiliza waziri jana ktk kile kipindi cha dakika 45 itv pengine ulipata kusikia akikiri yakua lipo kundi lenye uwezo wa kifedha nje ya serikal ambali alina mamlaka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Dakika 5 ziliozopita, nimemuona Hamad Rashid (mbunge wa Wawi) akiingia ktk ofisi ya Marehemu Aurora ( Mtaa wa Undali)....Atakuwa kanunua yeye au? Mwenye data atuhabarishe...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Interpol’s Dubai link in TZ animals scam Monday, 16 July 2012 08:25 By Mkinga Mkinga, The Citizen Reporter Dar es Salaam. The International Criminal Police Organisation (Interpol)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NDUGU wana jf Leo mida ya saa tano asubuhi wanafunzi wa udaktari kutoka Muhimbili wa mwaka wa nne tulikuwa tunaenda wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi kufuatilia pesa ya elective studies,Kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Bado ni chama cha upinzani lakini matatizo iliyosababisha ni ya hatari sana, Hili linajidhihirisha baada ya kuwa chama kikuu cha upinzani. MIgomo isiyo na msingi imeongezeka, mfumuko wa bei...
2 Reactions
72 Replies
7K Views
Shule ya Sekondari Morogoro yaungua Moto, moto huo ulianza majira ya saa 3:45 Source: Clouds fm
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nafikiri kuna haja kulitizama upya suala la siasa hasa kwa watunga sera na watoa maamuzi wetu.Kuna kila sababu ya kuweka kigezo cha mafunzo ya elimu ya 'POLITICAL SCIENCE' angalau kwa mwezi mmoja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nchi yetu tuna viongozi au tuna uchafu wa viongozi? Mauaji ya ushabiki wa kisiasa yataendelea mpaka lini? wananchi tuchague kiongozi gani atakaye leta ukombozi kwa watanzania.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
*Mke wa Rais wa kwanza Zanzbar jana alifunguka na kutoa dukuduku zake kuhusu Kupitia mahojiano ya Live katka kpind cha KUTOKA ZENJ Kirushwacho kila jumapil na ktuo cha Television cha Chanel...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
watu6 wamefariki kwa ajari Sumbawanga.Source tbc1
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kumekuwa na wimbi kubwa la kuwalazimisha watu kuajiriwa kwa kinyume na baadhi ya haki za binadamu. Kwa mfano mtu anaitwa kwenye interview halafu huko. Nadhani unatakiwa huu uwe wakati wa interiew...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kuna kikundi cha Vijana hapa Nchini wametokea kujifanya ni miongoni mwa wana kamati wanaohusika na Ufuatiliaji wa Hati/haki miliki juu ya kazi za wasanii, sasa watu hawa mara nyingi wamekuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani kwenda Arusha kwa ndege 450,000 the cheapest flight NOV 12 na iko hadi ya 1.5 milion kwenda Arusha tu na kurudi ukitokea dar! hivi watz tunaisha dunia ya ngapi? travelstart.co.tz.. hii...
0 Reactions
11 Replies
11K Views
kufuatia taarifa kwa uma wa kilosa hasa kata ya magomeni!iliyotolewa na afisa mtendani kata kuhusu kupolwa mashamba ya wananchi na makazi yao, na kupewa muwekezaji.na kuwataka wananchi kutolima...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
1. Facebook and Twitter addiction causes the same changes in the brain that are seen in cocaine users. 2. Your mind can sense someone staring at you. There's a chance that when you wake up for no...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Ni jambo jema sana kwa wataalamu wetu wanapokuwa wanaweka msisitizo juu ya kupanda miti ili kupunguza kasi ya uharibifu wa Misitu unaofanyika hapa nchini hasa kwenye Misitu yetu ya asili.Lakini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
leo chama cha mapinduzi wapo mpanda,wakiongozwa na nape nauye,pamoja na kusomba watu na maroli toka vijijini,watu ni wachache sana!wanamwambia mc,aongeze sauti watu wasikie huko majumbani mwao ili...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wametulia sasa, ama uzee, wametulizwa, au ndo walishapelekwa kule wapi.... kwa wadai haki... alikopelekwa Dr. Ulimboka?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika barabara zote kuu (Highways) kumekuwa na juhudi kubwa za kuzuia ajali barabarani zitokanazo na ukiukwaji wa taratibu zilizowekwa. Nadhani ni jambo la busara zaidi katika kuzuia ajali kuliko...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF, mara nyingi nimekuwa nikifikria na kutafakari juu ya imani na huruka hii yawanadamu si Africa, ulaya, marekani, na asia. Binafisi wanadamu kweli tumepewa karama tofauti...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…