Waziri membe athibitisha mbele ya umma kwamba ni kweli serikali iliyo madarakan ni DHAIFU.

Jotojiwe

JF-Expert Member
Mar 24, 2012
335
130
Ndugu zangu wana jf kama mlimsikiliza waziri jana ktk kile kipindi cha dakika 45 itv pengine ulipata kusikia akikiri yakua lipo kundi lenye uwezo wa kifedha nje ya serikal ambali alina mamlaka lakini kwa kutumia fedha zao wanakua na mamlaka na maamuzi ktk serikali, yani kiufupi ni kwamba uongoz wa nchi hii sio wa hawa viongoz rasmi walioko madarakan bali niwa hawa wengine wenye nguvu za fedha na utashi wa kueza kuivuruga serikali rasmi.

Nawakilisha hoja anaye pinga basi atupatie tafsiri ya ile kauli yake.
 
Nilimsikiliza anaonekana ana visasi maana alikuwa akiapa kwamba akioteshwa urais watamtambua hawa wanaomfuata fuata.

Halafu hawa vijana wachadema walienda kwake wakiwa na njaa zaolol!
 
Back
Top Bottom