wakimbizi,watumwa August 1 Kilosa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wakimbizi,watumwa August 1 Kilosa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ZIMBOO, Jul 16, 2012.

 1. Z

  ZIMBOO Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kufuatia taarifa kwa uma wa kilosa hasa kata ya magomeni!iliyotolewa na afisa mtendani kata kuhusu kupolwa mashamba ya wananchi na makazi yao, na kupewa muwekezaji.na kuwataka wananchi kutolima mashamba hayo ifikapo august 1 2012 na kutoka kwenye makazi yao ya sasa hali inayowafanya wakilosa kuwa watumwa,wakimbizi kwenye nchi yao na kuishia kusema heri ya wakoloni.wanajamvi tuwasaidie watanzania hawa kupata haki zao zamsingi za kuishi
   
 2. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hili li inchi viongozi wake wanatia hasira sana.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,152
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Nchi inauzwa hapo lazima kuna mkono wa babylon au mkullo!!
   
 4. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Hivi wale wananchi wa Kilosa waliokumbwa na mafuriko kipindi kile na kuahidiwa kujengewa nyumba na Rais wa Libya imefikia wapi issue hiyo? Au ndiyo hao wanaotakiwa waondoke!
   
 5. Z

  ZIMBOO Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wale wamepigwa buubaa!yaani changa la macho
   
Loading...