Wenye akili naomba mniambie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wenye akili naomba mniambie

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nakyoganzala, Jul 16, 2012.

 1. n

  nakyoganzala Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nchi yetu tuna viongozi au tuna uchafu wa viongozi? Mauaji ya ushabiki wa kisiasa yataendelea mpaka lini? wananchi tuchague kiongozi gani atakaye leta ukombozi kwa watanzania.
   
 2. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Hizi ni dalili za mwisho za utawala uliochokwa na hauna jinsi ya kujihalalisha tena isipokuwa kulazimisha waendelee kutawala ingawa wananchi hawawataki! Ni matukio yasiyoepukika kwa watawala kama wetu wa sasa. Tazama katika historia utaona hakuna utawala uliokaa muda mrefu kama wa hiki chama cha Mabwepande wakakubali kuondoka kwa njia ya demokrasia. Watanzania tunayo mikuki miwili na inabidi tuchague upi utuchome:
  • Tukubali wadhalimu waendelee kututawala, au
  • tukubali gharama ya kuutoa udalimu
   
 3. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hapo mkuu umeongea ukweli mtupu na nibora tuchague mkuki wa kuwaondoa wadhalimu wote ambao ni chama cha mabwepande.
   
 4. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mimi sina akili
   
 5. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Well said Nyetk. The sad side our story is that our people are not ready for a "Taharir Scquare"! So hawa wadhalimu wataendelea tu kutumaliza! Pity for this nation!
   
Loading...