Nimemuona Hamad Rashid mtaani kwetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimemuona Hamad Rashid mtaani kwetu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Boflo, Jul 16, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Dakika 5 ziliozopita, nimemuona Hamad Rashid (mbunge wa Wawi) akiingia ktk ofisi ya Marehemu Aurora ( Mtaa wa Undali)....Atakuwa kanunua yeye au?

  Mwenye data atuhabarishe...
   
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,321
  Likes Received: 1,787
  Trophy Points: 280
  Boflo unaongea vitu gani? Mzee Aurora...atakuwa kanunua yeye? Mzee aulora ni nani na amekwenda kununua nini?
   
 3. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Aurora ni aliyekufa karibuni alikuwa mfadhili mkubwa wa michezo hapa Bongo...

  Ana ofisi yake ya Ulinzi Upanga mtaa wa undali...
   
 4. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Boflooo ungekuwa mtaani kwetu ungekuwa na thread kama milioni hivi za design hiyo manake tunawaona wafanyabiashara wakubwa na wanasiasa wenye majina makubwa sasa sijui ingekuaje
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,321
  Likes Received: 1,787
  Trophy Points: 280
  Kwenda kununua nini Boflo maana unasema kwa mafumbo hueleweki
   
 6. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  boflo........:eek2:
   
 7. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kampuni ya ulinzi.....cause toka amekufa, nikipita naona ofisi zimefungwa
   
 8. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 771
  Trophy Points: 280
  Mkuu Boflo
  AURORA na HAMAD ni mtu na shemeji yake na ni mapatina katika biashara zao nyingi kama security, karafuu n.k
   
 9. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ok nilikuwa sikujua hilo......Asante sana kwa taarifa murua
   
 10. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kidogo chetu siku hizi nikipita pale Undali naona kumefungwa pale, na wale ma bouncer waliokuwa wanakaa nje, mbona siwaoni tena??
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 771
  Trophy Points: 280
  wana ofisi kuu huku msasani baada ya soko la samaki mambo mengi yanafanyika huko na hata wale mabounser wako huko
   
 12. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  ww kweli bofloooooooo
   
 13. N

  Nndu wa Selote JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 344
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Haya mambo mengine yanatupotezea muda unaanza kusoma ukidhani kuna issue kumbe... Kwani Hamad Rashid kuonekana mtaani kwenu ajabu? au haruhusiwi kupita mitaani???
   
 14. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ulidhani kuna mchongo wa hela????? pole kaka.....
   
Loading...