Mke wa hayati karume mama fatma karume afunguka kuhusu muungano. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke wa hayati karume mama fatma karume afunguka kuhusu muungano.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KengeWaKijani, Jul 16, 2012.

 1. K

  KengeWaKijani Senior Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  *Mke wa Rais wa kwanza
  Zanzbar jana alifunguka na
  kutoa dukuduku zake kuhusu
  Kupitia mahojiano ya Live katka
  kpind cha KUTOKA ZENJ
  Kirushwacho kila jumapil na
  ktuo cha Television cha Chanel
  10


  *Mama huyo alisema
  MUUNGANO umepoteza dira,
  hata kama marehemu MMEWE
  Angekuwepo leo asingekubali
  tena uwepo


  *Asema Mmewe
  hakuiunganisha ZANZBAQ ili
  imezwe Tanganyika ila ilataka
  mataifa haya mawili
  yashirikiane.


  *Asema Zanzibar inanyanyaswa
  na haitendewi haki kitu
  ambacho kmefanya muungano
  kuwa mzigo na adhabu kwa
  wazanzibara, muungano
  Umeleta umaskin mkubwa
  Zenj.


  *Asema mambo ya hela/cash/
  noti si ya muungano kila taifa
  kivyake, atoa ushahd kuwa hata
  enz za uhai wa waasis wa
  Muungano, Nyerere alituma
  mtu zanzibar kuuata Noti,
  mmewe AKAMTOLEA
  NJE...............Alipomuulza
  mmewe kwanini amekataza
  noti zsiende bara?
  .........Karume akasema Mambo
  ya hela cyo ya muungano,
  zanzibar nchi ndogo haiwez
  kuhudumia taifa kubwa kama
  tanganyika.


  *Asema Nafasi zote za juu na
  nyeti Wabara wametwaa zote,
  Asema Tanzania ina MABALOZI
  33 wanaoiwakilisha katka kona
  mbalimbali za dunia, lakini
  Wazanzibara ni watatu(3) Tu!


  *BOAT tangu ianzishwe miaka
  ile hajawah kuwepo Gavana
  kutoka Zanzibara, Majuzi ndo
  wakapgwa changa la macho
  wakapewa naibu gavana ambae
  nae hayuko huru Amewekewa
  Watanganyika wawil(2)
  kumsimamia


  *Asema yeye kama mke wa
  Mwasisi wa MUUNGANO
  Hakuna anachofaidi na
  anatamani mme wake
  angekuwepo


  *Huku akitoa chozi, alisema
  yeye AMETELEKEZWA na
  serkali ya Kikwete(Tanganyika)
  Wake wa Marais wengne
  wanahudumiwa na serikali
  ikiwepo kwenda kutibiwa India.


  *Aishukuru serkal ya Zanzibar
  kwa kumhudumia licha ya
  kutelekezwa na serkal ya
  KIKWETE


  *Asema katib mpya
  icporekebsha hili bora
  wanzibara wadai uhuru wao.

  Cortsey of Mwananchi

  TUJADILI.
   
 2. S

  SPANERBOY UDZUNGWA JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 623
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  waondoke zao wavunje muungano kwani nani anautaka?
   
 3. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,084
  Likes Received: 601
  Trophy Points: 280
  umepoteza serkal ya
  KIKWETE imekutelekeza?
   
 4. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  MH KWA NAFASI ALIYOKUWA NAYO MTOTO WAKE KWELI HUYO MAMA ANASHINDWA KUPATA MATIBABU KOKOTE? AU NDO ALITAKA APEWEB TUZO NAE? JAMAN kazoea kulalamika huyu mama mwanae balozi na raisi mstaafu wote hao anateseka kweli awe na shukrani kwa mungu hawezi kuwa kama alivyokuwepo mumewe
   
 5. odinyo

  odinyo JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Huyo mama hana shukrani.
  watoto wake wamepewa Uraisi na mwingine amepewa ubalozi nini zaid anataka? na kama sErikali ya ZNZ inamhudumia nini zaid anataka
   
 6. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  anataka awe anabebwa na gari kushikana mikono na watu, pia gari na maafisa wa serikali ya muungano wawe wanamfutia vumbi viatu vyetu kila akinyanyia mguu wake. HUYU MAMA HAZIJUI SHIDA, HALAFU ANALALAMIKA KUPATA SHIDA
   
 7. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,323
  Likes Received: 3,116
  Trophy Points: 280
  Kwanza huyu mama si ndio waarabu hawa waliolazimishwa kuolewa na watu weusi kule Zanzibar katika kampeni ya Karume kuondoa ubaguzi wa waarabu na wabantu? Hivi aliolewa na Karume kwa mapenzi yake kweli? Mtu wa namna hiyo lazima atasema mume wangu angekuwapo asingekubali tena muungano.

  Huu ni uongo mkubwa, kwani mfumo wa muungano alioutaka Karume ndio ambao ungeimeza kabisa Zanzibar, na Nyerere alimkatalia Karume. Karume alimwambia Nyerere tuungane, wewe unakuwa raisi mie nakuwa Makamu wako katika serikali moja. Nyerere akamwambia hatuwezi kufanya hivyo kwa sababu ile ile kwamba tukifanya hivyo Tanganyika itakuwa imeimeza Zanzibar. Ukweli ni kwamba kwa aina ya muungano aliyotaka Karume tungekuwa na serikali moja ya Tanzania, na kusingekuwa na serikali ya Zanzibar.

  Sasa leo haya anayosema Mama Karume kayatoa yapi? Labda anasingiziwa hajasema haya. Lakini kama kweli ameyasema basi hakumjua mumewe, na ni afadhali akae kimya badala ya kukubali kutumiwa na kikundi fulani cha watu, hata kama ne ana asili ya kiarabu.

  Tunaelewa vema sana kwamba mapinduzi ya Zanzibar kwa watu wa aina fulani leo hii ilikuwa ni kuondolewa kwa baba zao toka madarakani, na wanayaona mapinduzi kama umwagaji wa damu ya baba zao. Sasa wanataka kurudisha serikali ya kibaguzi iliyoondolewa katika mapinduzi yale kwa kisingizio cha kutotaka muungano. Tunawajua sana, na tunaelewa mnakoenda.

  Hata lengo lenu la kuifanya Zanzibar kuwa kisiwa cha nchi fulani ya kiarabu tunalijua, na jinsi mlivyoahidiwa kwamba mtapewa fedha nyingi kuifanya Zanzibar kama Dubai. Tunawajua.
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Aisee......kama huyu mama anasahaulika sijui sisi tusemeje!

  [​IMG]
   
 9. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Mnashangaa nii kwani hamjui Zanzibar ukitaka upendwe useme vibaya muungano.
   
 10. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,646
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Duu kazi kweli kweli.
   
 11. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wale zao kona bana, kero tu!!.
   
 12. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Huyu mama maneno yake kama kweli
  Mh kwa kweli wa Zenji wanatia huruma bora waachwe kivyao.
  Cjui sasa wapemba walioko huku wote tutawapa uraia!
   
 13. Q

  Qixima mQiqa Senior Member

  #13
  Jul 16, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu mama inabidi apimwe akilii mana maneno anayoyasema ni ya kinafiki. Watoto wake wa wili wamepewa ulaji mkubwa bado hajashiba?je mama Maria Nyerere asemaje?
   
 14. KANDA MBILI

  KANDA MBILI Member

  #14
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 25
  hili la kulia eti kisa wake za marais wengine wanatibiwa india ndio linaniumiza kichwa....
   
 15. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #15
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Hata kama kayasema, maneno haya ni ya kupandikizwa midomoni, si yake na yanaweza kuwagharim kama familia!

  Inaelekea hana washauri kabisa.
   
 16. mwanamapinduko

  mwanamapinduko Senior Member

  #16
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huyu mama hana shukrani kwanza aje abebe jengo (village supermarket) lake pale hotel seacliff apeleke kwao Zenji! Muungano hata sisi unatukela kwa mambo kama haya ya chetu chao na chao chawawo wenyewe!
   
 17. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #17
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,323
  Likes Received: 3,116
  Trophy Points: 280
  Hizo ni point mbofu mbofu, na hazina uhusiano na masuala ya muungano. Yaani kutibiwa kwa mke wa Karume India nayo imekuwa kero ya muungano? Hayo ni matatizo ya serikali ya Zanzibar, sio muungano.
   
 18. mtukichwa

  mtukichwa Member

  #18
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mama, mama, mamaaaaa, mama huyooo, mamaaaa. Sidhani Kama anaelewa alisemalo. Kwani nataka kujua, alishawahi kusikia nafasi yoyote kiserikali ama kisiasa wakati wa mumewe? Kama hapana, basi haya yatakuwa ni mawazo yake binafsi, kwa maana kuwa; wakati mambo ya msingi (muungano) Yakiwa yanajadiliwa yeye hakuwa sehemu ya mazungumzo, majadiliano wala makubaliano.

  Kwa maana hiyo anachokifahamu ni kile ambacho marehemu mumewe (mwenyezi Mungu ampumzishe kwa Amani) Alitaka akijue na si vingenevyo. Hivyo basi kwa mtazamo wangu mdogo tena sana (.com generation) nadhani na kuamini kuwa mama Kama mama wengine Woote wenye asili ya kiarabu huwa si wazungumzaji wa familia haswa pale maongezi yenyewe yanapohusu mambo yaliyojiri huko makazini kwa wazee/ waume zao, ikizingatiwa sana kuwa kipindi chao wao hawakuwa wa kutoka ndani (kujishughulisha kusaka kipato) hivyo sidhani Kama ni chanzo kizuri sana katika kuzungumzia muungano.

  Swali langu ni kuwa, kwani wakati wazee wakizungumzana kuhusu hili jambo walikuwa wenyewe ama walikuwa sirini? Lazima kuna watu wawili watatu walishirikishwa japo kuandika kilichokuwa kikizungumzwa, kujadiliwa na kukubaliana (taking minutes). Haya tuseme hapakuwa na hadidu rejea, basi hakukuwa na washauri aw pande hizo mbili za majadiliano/ makubaliano hiyo? Kama walikuwepo, waulizwe watoe mawazo yao na wanachokijua wao kutokana na waliyoyasikia yakijadiliwa ama kukubaliana na sio kufuata wamama wa watu ambao kwa mtazamo wangu naona hawakuhusika kabisaa katika mchakato husika.

  Kwa sasa ni hiyo tuu, ila bado naendelea kulitafakari hili swala.
   
 19. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #19
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  aende zao kwao zenji
  si wana nchi yao.
   
 20. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #20
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ivi zenji wanatutaka nini watanganyika
   
Loading...