Unaposhikana mkono na mtu maarufu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unaposhikana mkono na mtu maarufu.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtanganyika1, Jul 15, 2012.

 1. M

  Mtanganyika1 Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wana JF, mara nyingi nimekuwa nikifikria na kutafakari juu ya imani na huruka hii yawanadamu si Africa, ulaya, marekani, na asia. Binafisi wanadamu kweli tumepewa karama tofauti tofauti hadi inafikia hatua wengine kuwa naumaarufu mkubwa zaidi ya watu wengine na hii ni katika nyanja tofauti tofauti,swali linabaki pale katika watu wakawaida wanavyochukulia wakutanapo na watu kama hawa.

  Wanasiasa wanapokuwa katika shughuli zao za kisiasa na za kawaida wananchi hufurahi sana hadi wengine kuwa na mtizamo tofauti hadi ashikane mikono na mheshimiwa ambalo ni jambo la kawaida, wengine inafikia hatua yakutaka kuumizana kutaka angalau aguse mkono wahuyo muheshimiwa, sijui imani ya hawa wananchi huwa imekaaje?

  Wanamichezo maarufu duniani, mpira wamiguu, miziki,n.k nasikia historia za watu maarufu duniani kwamba hata akilala kwenye hoteli fulani watu wanafurika kwenye hiyo hoteri naambiwa david Backamg wauingereza alipo lala kwenye hoteli moja huko Japan wakati wa michuano ya kombe la Dunia 2002 hoteli hiyo ikawa na umaarufu mkubwa sana nawatu kupendelea kwenda kwenye hiyo hoteli, vilele hata kwenye moja ya maduka watu hawa waingiapo kununua maduka hayo huchukua umaarufu mkubwa,je katika watu wengine wanapata nini juu ya hawa watu wanapotembelea maaneo fulani nawao wanataka kwenda pale?

  Nasikia kuna mwanamziki mmoja aliwahi kuvua nguo yake ya ndani nakuwatupia mashabiki nawaligombania wale wazungu pengine hata kuumizana ilitokea au la! na mengine mengi yamekuwa yakitokea juu ya hawa watu maarufu na watu wakawaida kufanya vitendo visivyo vya kawaida hii ni nini? ni ushabiki tu? au ni jambo la kisaikrojia? wataalamu wa mambo ya jamii na saikrojia mtueleze juu ya mambo kama haya au kuna imani tofauti juu ya mambo tuyajuavyo watu wakawida?

  Nawakilisha.
   
 2. m

  mkupuo JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  mkuu huo ni mtizamo tu wa mtu binafsi. kwani watu wote hamuwezi kuwa na mtizamo mmoja kwa kila kitu. Ndiyo maana wakati watu wengine wanaona shilingi bilioni moja za kitanzania ni fedha nyingi sana wakati watu wengine wanaona ni VIJISENTI TU.
   
 3. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  I like the way you're thinking Mkuu.
   
 4. k

  kinubi Senior Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 130
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  huku huwa tunawasilisha mkuu
   
Loading...