Wazee wa East Africa Community wamelipwa madai yao? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazee wa East Africa Community wamelipwa madai yao?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Babu Original, Jul 16, 2012.

 1. B

  Babu Original Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wametulia sasa, ama uzee, wametulizwa, au ndo walishapelekwa kule wapi.... kwa wadai haki... alikopelekwa Dr. Ulimboka?
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Usitarajie kwa jei kei,imekula kwao jeikei kamaliza fwedha zote hazina,kamaliza hela zote za mifuko ya kijamii,sirikali mufirisi.
   
 3. B

  Babu Original Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama kweli haki ya mtu haipotei je, huyu JIKE na maswahiba wake watakuwa na immunity ya aina gani ili wasiburuzwe korti
   
Loading...