Police walitaka kuzuia msafara wa wanafunzi madakitari MUHAS kwenda MOEVT | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Police walitaka kuzuia msafara wa wanafunzi madakitari MUHAS kwenda MOEVT

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bainamugisha, Jul 17, 2012.

 1. b

  bainamugisha Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NDUGU wana jf Leo mida ya saa tano asubuhi wanafunzi wa udaktari kutoka Muhimbili wa mwaka wa nne tulikuwa tunaenda wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi kufuatilia pesa ya elective studies,Kwa sababu pesa iliyoletwa chuoni ilikuwa pungufu,na tulikwenda wizarani wiki iliyopita tukuambiwa turudi leo jumatatu.

  Pindi tuko barabarani Serena hotel landlover ya polis ikatupita,kumbuka Leo Ndo madaktari walitangaza maandamano ya Amani kutoka Muhimbili mpaka wizara ya afya lakini waliyaharisha baada ya kukosa kibari cha polisi.Sasa tulipofika Maeneo ya wizara ya afya wakasimamishwa watu wetu wawili na polisi hao na kusema nyie nani na mnaenda wapi??tukamwambia wanafunzi tunaenda wizarani(elimu) tuliambiwa tufate majibu Leo .akasema NO nyie ni INTERN DOCTORS mnaandamana,wakapelekwa Kwa mkubwa mbele ya gari akahoji maswali mengi halafu akatuluhusu kuona hawajalizika tukafatiliwa na mtu Mwenye suti nyeusi mpaka pale wizarani na gari Yao pamoja na mapolisi tukawkuta wizarani.

  Basi wametuzunguka pale kuanzia saa 5 mpaka ile saa 10 jioni wakifikiri tunataka kuandamana kwenda wizara ya afya au ikulu,
  Kilichonifanya niseme hiki kitu ni Kwamba polisi wana mambo na kesi nyingi za kufuatilia Kwa nini waangaike na kikundi. Kidogo cha wanafunzi tena tulikuwa kama15 tu??? Je Kwa sasa wizara ya afya ipo karibu na chuo cha fedha IFM Je Kama niwanafunzi wa chuo icho Ndo hupita kuanzia asubuhi mpaka jioni utahoji wangap??sababu madaktari hawana label
  Inaonekana sakata la madaktari uwaumiza sana kichwa serikali.
   
 2. M

  MVENGEVENGE Senior Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kazi kweli kweli! hakuna intelegensia wanayosemaga siku zote?
   
 3. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  JK ni kama haoni yanayoendelea as ni term yake ya mwisho ananyanyasa tu watu. Yeye kula bata tu, bado anasafari kama 200 labda b4 kuanchia ngazi.

  Inasikitisha sana wanahangaika na Dr's badala hata yakujisafisha na kununua vifaa vinavyohitajika mahospitalini tujue wamefanya kitu. Yaani wanunua vyomba hata kama hawalipi Dr's ila wenzake wa chini hawajali, JK nae kama sio kiongozi wa nchi. Ulaya, India kupo kuwatibu.
   
Loading...