Vijisenti
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 544
- 328
Bado ni chama cha upinzani lakini matatizo iliyosababisha ni ya hatari sana,
Hili linajidhihirisha baada ya kuwa chama kikuu cha upinzani. MIgomo isiyo
na msingi imeongezeka, mfumuko wa bei umekuwa mkubwa mno, utendeji
maofisini umekuwa mbovu (Taarifa za kiinterejensia) kwa sababu yao.
Jamani, angalieni wsakati chama kikuu cha upinzani kikiwa CUF, mmewahi
kusikia migomo hatari ya madaktari kama hii inayojitokeza leo.
Hawa watu ni hatari hata ukiangalia post zao humu jukwaani ni matusi
na utumbo tu badala ya kujenga hoja zenye akili,
Tumewchoka 2015 hamtupati kwa sera zenu za matusi.
Watanzania tutafakari na tuwaepuke hawa watu!