Kila mh.apewe hii dozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila mh.apewe hii dozi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MUNYAMAKWA, Jul 15, 2012.

 1. M

  MUNYAMAKWA Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafikiri kuna haja kulitizama upya suala la siasa hasa kwa watunga sera na watoa maamuzi wetu.Kuna kila sababu ya kuweka kigezo cha mafunzo ya elimu ya 'POLITICAL SCIENCE' angalau kwa mwezi mmoja kuwa compulsory kwa mbunge yeyote kila baada ya uchaguzi.Labda hii inaweza ikaleta tija kwa kuongeza ufanisi wa waheshimiwa hawa katika kutekeleza majukumu yao kwa manufaa ya wanachi , maana yawezekana upungufu wa ku-associate Siasa na maendeleo ya Kisayansi ndo vinatupeleka huku tusiko kutaka sisi watanzania.
  Source:Munyamakwa
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo kwa maono yako sayansi ya kipolitika ndiyo inaweza kuleta maendeleo
   
 3. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Unategemea akili kama ya Mwigulu unawezaje kubadili kwa hiyo dozi unayopendekeza?
   
 4. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hahahahahaaa! Huyo labda kama kuna huduma ya kubadilisha ubongo tu ndo itamfaa!
   
 5. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  na wachumi wa daraja la kwanza pia wanaweza kutusaidia..******
   
Loading...