- Wandugu wapenzi tupo huku Osterbay: at Kenyatta Road, karibu na Chole Road, tunafanya Fundraising ya kuwasaidia watoto wa Yatima Dodoma, kwa kushirikiana na Kinjekitile Mwiru. Nawaomba sana wale...
Wadau naombeni kujuzwa,,,kwa anaejua soko la asali nchini kenya na bei kwa jumla,,bei ya lita au kg,,ninayo nyingi,,,,,,,na nimbichi ya nyuki wakubwa,,pls nijulisheni,,
Welcome home Mr President
May be, just maybe, this guy is asking himself questions like: Sir, how was the family planning conference? Did they ask you how many kids you have sir? If they...
Katika hotuba ya msemaji mkuu wa kambi ya upinzani mheshimiwa vincent josephat nyerere (mb), kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2012/2013 wizara ya mambo ya ndani ya nchi...
Directed by -
Hon: Mizengo Pinda
Produced by - Hemed Msangi, Alhaji Suleiman Kova
Written by -
Bwana Deo
Starring - Hemed Msangi, Suleiman Kova, Dr Ulimboka
Guest starring - Rev...
Posted on July 16, 2012 by zanzibaryetu
WAJUMBE wa baraza la wawakilishi wamepitisha makadirio ya matumizi ya wizara ya ardhi, makaazi maji na nishati ya mwaka wa 2012/2013 huku wakitaka...
Leo asubuhi nilikuwa ninamsikiliza msemaji wa TCRA akielezea kubadilishwa kwa mfumo kutoka analojia kwenda digitali huku akifafanua kwamba tunahitaji kuwa na ving'amuzi ili tuweze kuona chaneli...
Waziri wa Nishati na Madini amepanga kutembelea Mgodi wa Tanzanite One kabla ya kutoa lesseni ambapo ilizuiliwa baada ya kukwepa kodi ya US$ 2m au Tshs3.5 bils.
Hata hivyo uongozi wa...
Wiki iliyopita nilipata fursa ya kutembelea Bugando hospital kwa shughuli binafsi.Nilishangazwa kwa kitendo cha walinzi wa Bugando kukataa kuruhusu wanawake waliovaa masuluari ama kuingia kupata...
Kwanza Kova atakuja na neno "Inteligensia" ili kuhalalisha hakuna maandamano.
Pili, serikali imebuni mbinu ya mahakama, ili hoja isijadiliwe. Hivyo, wasemaji wote wanaitumia mbinu hii,
Mfano...
BY EDITOR
15th July 2012
In our last weeks edition of The Guardian on Sunday, we published a lead story detailing how expensive it is to train a single doctor, with conservative estimates...
WASHINGTON (AP) If diplomatic achievements were measured by the number of countries visited, Hillary Rodham Clinton would be the most accomplished secretary of state in history.
While...
Soma hapo nilipoweka red chini sehemu ya majadiliano ya Ndugulile na Mwandishi wa Mwanachi;
Polisi wazima mapokezi ya Ndugulile
Send to a friend
Monday, 16 July 2012 13:51...
Wananchi wa kondoa sasa wamepata mgodi mpya wa Tumbelo ambao unatoa dhahabu kwa sasa.Jana nilitembelea maeneo hayo nikiwa nimeambatana na Mkurugenzi wa Halimashauri ya Kondoa pamoja na Muhasibu wa...
Wakuu naomba msaada, nina t.v yangu kesho nakuja nayo dar. Sina uzoefu na gharama za kuivusha pale kwa watu wa t.r.a bandari ya dar. Mwenye uzoefu wa gharama anisaidie nijipange kabisa
Kitengo cha huduma ya mafaili kwa wagonjwa wa marudio hospitali ya rufaa Dodoma kina uzembe uliokithiri. Nimefika hapa tangu asubuhi faili halionekani. Mgonjwa anatakiwa kutolewa nyuzi baada ya...
Jamani mimi binafsi kuna wizi ninafanyiwa na kampuni za simu za mkononi ambalo nimeona nikilileta JF litawafikia wahusika. Hili tatizo wenzangu mtasema kama na nyie linawapata. Ni hivi kati line...
Kuna aina nyingi za kazi, na hakika ndizo zinazo tuwezesha kumudu maisha. Hata hivyo kazi nyingine huwa ngumu, ingawa watu tunalazimika kuzifanya. Fikiria kazi aifanyayo ndugu yetu kova, anapo...
Mtu mmoja amefariki dunia papo hapo na wengine Saba kujeruhiwa baada ya lori aina ya Scania mali ya Ndugu Bhanji kufail breki katika mteremko wa Nzovwe na kwenda kuigonga gari ndogo Prado...