Fundraising Ya Watoto Wa Yatima Dodoma!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fundraising Ya Watoto Wa Yatima Dodoma!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by W. J. Malecela, Jul 14, 2012.

 1. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,133
  Likes Received: 1,363
  Trophy Points: 280
  - Wandugu wapenzi tupo huku Osterbay: at Kenyatta Road, karibu na Chole Road, tunafanya Fundraising ya kuwasaidia watoto wa Yatima Dodoma, kwa kushirikiana na Kinjekitile Mwiru. Nawaomba sana wale wote wenye huruma na kuelewa kama sisi kwamba hawa watoto hawakuomba kutokuwa na wazazi kama tulionao sisi, mjiotkeze hapa tupo mpaka usiku wa saa mbili.

  - Kinachotakiwa ni kiingilio tu Shillingi 10,000 ambapo pia utaweza kuosehwa gari lako kwa hicho kiingilio, karibuni sana people tuweke itikadi na tofauti zetu pembeni na tuwe One Peopel, One Nation Tanzania na One Great JFers and help this kids!!

  - MUNGU AIBARIKI TANZANIA NA HASA WATOTO WAKE!!


  William John Samwel Malecela: MJUMBE WA WAZAZI MKOA DAR & MJUMBE WA CCM WILAYA ILALA.
   
 2. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,201
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Wale mademu wa mujini ilisema watakuwepo walishafika??

  wakifika nistue niibuke uko na mimi niwaone Live...nimechoka kuwaona kideoni....hahahahaha!!
   
 3. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,282
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  ...sio kwa ubaya!...

  lakini pia natumia fursa hii kukupongeza mkuu!..pia nimeipenda sana kasi yako ya kuingia kwenye siasa!..

  one love
   
 4. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Le Mutuz anatafuta njia nyingi ya kuwin kisiasa sema ana damu ya kunguni....
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,194
  Likes Received: 1,588
  Trophy Points: 280
  Gari zitaoshwa na mabebzzz wa ukweee? Manake yangu ni chafu ila it will be blessed japo kuguswa nao.

  Afu ungetuambia mapema tukavunja vibubu aisee.
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,213
  Trophy Points: 280
  Le mutuz Big Show @O-bay safi sana upo na mutu ya pakee mutu ya watoto kinje!!
   
 7. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mie ndio navunja changu sasa hivi wahi tugawane!
   
 8. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #8
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,133
  Likes Received: 1,363
  Trophy Points: 280
  - ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Unajua nyinyi vijana sometimes mnanivunja mmbaavu sana i mean this is wasap!! Ha! Ha! Ha! Ha! Eti nini tena bro? Ha! Ha! Ha! Ha! WAOSHAJI NI Ma nini hao? Ha! Ha! Ha!

  Biiiig shooooooooooow!!!
   
 9. M

  Magesi JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaaz kweli kweli hongera mjumbe wa magamba kwa ubunifu mzuri kutafuta umaarufu kazi
   
 10. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,052
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Umesema Kenyata karibu na Chole umenichanganya kidogo CoCo beach karibu au ni pande ipi hiyo?
   
 11. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,531
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ningependa kujua na kwa faida ya wengine: hao watoto yatima wa Dodoma wapo kwenye kituo(centre) maalum?
   
 12. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,808
  Likes Received: 566
  Trophy Points: 280
  hao wanaowaoshea magari kwanini msiwafanyie na wenyewe fundrising, au hiyo ni ajira rasmi?
   
 13. a

  andrews JF-Expert Member

  #13
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,682
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ​du dr wako anakazi maana ukimtibu mgonjwa unafurahia akipata nafuu sasa wewe ugonjwa unazidi maana kilaunalofanya huoni kuwa una matatizo ya kichwa?kwa hapa siku ukijijua milembe wataachiwa wote maana kazi ipo ndio maana mzee malecela hakuwahi kukutambulisha kwa jamii ur very kituko
   
 14. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #14
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  asante kwa taarifa ila ungewaambia mapema wajipange wanaume wenzako.huku mwanza mje kutoa hiyo huduma pia maana magari yetu nayo ni machafu sanaa na vibubu vimejaa tunataka kuvivunja
   
 15. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #15
  Jul 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kaka Badilisha HEADING hakuna WA YATIMA hawatunzwi na YATIMA ni YATIMA.

  New HEADING: FUNDRAISING YA WATOTO YATIMA DODOMA
   
 16. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #16
  Jul 14, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,837
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Mkuu mbona umekuwa na masahibu mengi sana tangia umeingia Tanzania ? Majina mengi na umri wako mkuu kweli vina endana?Hivi umelenga kuwasaidia watoto wa kikundi kipi hasa ?Pole sana ulimponda sana Mbowe siku za nyuma lakini naona sasa unatafuta njia zake ila naona gharama yake ni kubwa sana .Kwa nini unataka siasa sana kuliko maisha yako ya kawaoda mkuu maana nabaki nashangaa sana .Is it about titles na kula maisha au ?
   
 17. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #17
  Jul 14, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,898
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Mkuu kinjekitile ni yule mtoto wa kingunge ngombale mwiru/yule aliyekuwa anakamua za ubungo bus terminal/
  kweli watoto wa wakubwa mmeamua kukaba mpaka penati,hao watoto wa yatima kwa nini msisaidie yatima moja kwa moja,na kama ni maandishi umekosea hao yatima wa dodoma kuna vituo vingi sana je utapeleka kituo gani/na kama hujafikisha ni nani atafuatilia,kwa sababu hakuna mwakilishi wa yatima hapo.
  naomba ufafanuzi kwa sababu kasi yako inatisha kwa sasa.
   
 18. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #18
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Du on myway nikaoshewe bajaj yangu mie hahahaha Le mutuz big show pamoja sana
   
 19. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #19
  Jul 14, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,531
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kweli biiig shoooow...! Nimelikuta tangazo kule kwenye matangazo madogomadogo...

  [​IMG]
   
 20. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #20
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  WEMA, NDAUKA, PENTEZEL, watakuwepo!'

  nawahi na baiskeli yangu, mda c mrefuuuuuuuuuuuu

  tanx
  bwig showzzzzzz
   
Loading...