Mgodi mpya wa Tumbelo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgodi mpya wa Tumbelo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nelly16, Jun 22, 2012.

 1. N

  Nelly16 New Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wananchi wa kondoa sasa wamepata mgodi mpya wa Tumbelo ambao unatoa dhahabu kwa sasa.Jana nilitembelea maeneo hayo nikiwa nimeambatana na Mkurugenzi wa Halimashauri ya Kondoa pamoja na Muhasibu wa Halimashauri na Mwanasheria.Tukakuta shughuli za mgodini zikiendelea.Pamoja na kuendelea kwa shughuli hizo ila mgodi huu bado unachangamoto nyingi zikiwamo hali ya usalama mgodini,Afya na barabara mbovu.Serikali kama itawawezesha wachimbaji hawa wadogo basi itakuwa imelisaidia sana taifa hili.
   

  Attached Files:

 2. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,640
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  Tanzania full raslimali sema wanaozifaidi wachache sana aisee
   
 3. tembeleh2

  tembeleh2 JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 768
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mungu atupe nini Tanzania???? Kwa mawazo yangu Tanzania nzima imejaa madini ya thamani ila tumeshindwa kuyatumia vizuri kwa ajili ya maendeleo yetu.
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Nchi tajiri sana lakini watu wake masikini na wanaongozwa na mtu dhaifu sana
   
 5. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Sasa hapo issue ni moja tu.........aliyegundua huo mgodi ni wananchi wenyewe..........lakini watakuja kufukuzwa kama mbwa hapo..

  Subirini tu muone maajabu ya Serikali ya CCM!!!
   
 6. R

  Richardbr Senior Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hifadhi ya mazingira wanatakiwa kuangalia sana maeneo haya,tumbelo ni sehemu ya mradi wa uhifadhi wa mazingira wa HADO lakini leo kijiji hiki kinageuka jangwa wakati miaka kumi iliyopita kijiji kilikuwa kikijitegemea chenyewe kwakuwa na springs nyingi kwa ufupi ni kijiji kilichokuwa na madhari ya kipekee na utajiri wa matunda ya asili kama vile majumbao machkai,mapera,makomamanga zambarau nakadhalika,si hivyo tu lakini tumbelo kwa wale waliosoma historia huko ndipo ya lipo kutwa michoro ya kale katika mapango,na leo hii pamegunduliwa madini bila shaka pana utajiri zaidi ya huo
   
 7. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Tanzania tumekosa umoja wa kitaifa,
  Tuna matumaini makubwa,
  kwa mkombozi tusiyemjua,
  mipango yetu karibu yote,
  Ni yamuda mfupi.
   
 8. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Tajiri ardhini na maskini vichwani. Bongo tunataka kuijenga kwa style ya bongo tambarale...kutengeneza mahela mengi bila kufanya kazi
   
Loading...