Kupitisha mzigo bandari ya dar kutokea zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupitisha mzigo bandari ya dar kutokea zanzibar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mtengwa, Jul 16, 2012.

 1. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Wakuu naomba msaada, nina t.v yangu kesho nakuja nayo dar. Sina uzoefu na gharama za kuivusha pale kwa watu wa t.r.a bandari ya dar. Mwenye uzoefu wa gharama anisaidie nijipange kabisa
   
 2. d

  debon Senior Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ongea na mtu wa bandarini wakati wa kutoka, wanapokea elfu tano kijanja lakini, kazi kwako
   
 3. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni bure ila ibebe kiunoni
   
 4. mwakajila

  mwakajila Senior Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Umenunua wapi?kama umenunua zanzibar njoo tu na risiti..kamaimetoka nje ya zanzibar njoo na documents za kuingiza hiyo TV kukoconfirm kama imelipiwa kodi.
   
 5. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  usitoe hela/ushuru wowote waambie sio ya biashara ni kq ajili ya matumizi yako binafsi.... Ukijiskia ndio uwape elfu mbili tu... Ila uwe natv moja tu
   
Loading...