Ni kweli mhe tibaijuka alihonga madiwani?? Soma hapa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli mhe tibaijuka alihonga madiwani?? Soma hapa!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by eumb, Jul 16, 2012.

 1. eumb

  eumb Senior Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Soma hapo nilipoweka red chini sehemu ya majadiliano ya Ndugulile na Mwandishi wa Mwanachi;[TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: contentheading, width: 100%"][TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: contentheading, width: 100%"]Polisi wazima mapokezi ya Ndugulile [/TD]
  [TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] Send to a friend[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: createdate"] Monday, 16 July 2012 13:51 [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD] 0diggsdigg

  Elias Msuya
  MKUTANO ulioandaliwa na wakazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumpokea na kumsikiliza Mbunge wao, Faustine Ndugulile jana ulipigwa marufuku kwa kile kilichoelezwa kuwepo hatari ya kuvunjika kwa amani.
  Ndugulile alikuw aakirejea jimboni mwake jana, baada ya wiki iliyopita Naibu Spika, Job Ndugai kumpa adhabu ya kutohudhuria vikao vitatu vya Bunge alipodai kuwa baadhi ya madiwani wa Temeke walipewa rushwa na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka ili kuruhusu mradi wa ujenzi wa Kigamboni.
  Naye Ndugulile akizungumza kwa simu na Mwananchi, alisema kuvunjwa kwa mkutano huo kunatokana na masuala ya siasa.
  “Hayo ni mambo ya siasa tu, mkutano huo uliandaliwa na wananchi wenyewe ili kutoa dukuduku zao. Hata mimi nimejulishwa nikiwa najiandaa kwenda mkutanoni,” alisema Ndugulile
  Kuhusu madai aliyotoa Bungeni, Ndugulile alisisitiza kuwa ni ya kweli. “Unajua, siyo kila kitu unaweza kuthibitisha Bungeni, lakini huo ni ukweli…,” alisema Ndugulile.
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] Send to a friend[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: createdate"] [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. a

  andrews JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ​ccm ni majambazi kwanza wauze chuo cha ccm kivukoni kwa wawezekaji
   
 3. D

  Deofm JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 383
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nashindwa kujiunga na chama chochote kwa sababu ya hili la kunyimwa kusema ukweli, Ndugulile akae tayari, maana jina lake litaondolewa katika orodha ya wagombea wa ccm, na anaweza akanyang'anywa hata uraia, Mtafute mtu anayeitwa Nyimbo na mwingine ni Seleli pamoja na Bashe watakueleza yaliyowakuta
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  asante sana mh mbunge,,,,umetusaidia wengi,SI KILA KIANDIKWACHO JF NI UWONGO INGAWA HAKINA SOSI
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  asante sana mh mbunge,,,,umetusaidia wengi,SI KILA KIANDIKWACHO JF NI UWONGO INGAWA HAKINA SOSI,na si kila chenye sosi huwa ni cha kweli
   
 6. E

  Etairo JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mhh. Huo ndo ukweli, tunameza bila kutafuna tukidhani tumetafuna vya kutosha kupoteza ushahidi. Lakini kila atafunae hatafuni kikamilifu chembe ubaki zikatosha kuonesha ukweli kwa wenye akili. Bunge siyo mahakama kwamba lazima kila kitu kithibitishwe kwa ushahidi.

  Nadhani ni jukumu la bunge na usalama wa taifa (kama upo) kutafuta ukweli huo ili kubaini kuwa waziri alihonga au la,au Dk. Ndigulile alisema kweli au uwongo. Dk. alikuwa mungwana kutomhaibisha waziri (prof.) vinginevyo angeweza kummaliza.

  Hongera Dk. Ndigulile-ukae tu ukijua kuwa kutetea maslahi ya walikuingiza mjengoni ni kazi ngumu ktk mfumo wentu wa nyang'au tulionao.:director::israel:
   
Loading...