hatimae polisi na magereza waongezewa posho ya chakula. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hatimae polisi na magereza waongezewa posho ya chakula.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gwaks makono, Jul 17, 2012.

 1. G

  Gwaks makono Senior Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Aug 27, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  akisoma hotuba ya bajeti mh nchimbi ametangaza kuongeza posho ya chakula kwa jesh la polisi,magereza,uhamiaji na zimamoto kutoka 100,000 hadi 150,000
   
 2. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,241
  Likes Received: 2,917
  Trophy Points: 280
  Kwani zinatosha? Ndiyo wataacha ungunguri wao...
   
 3. i

  isoko Senior Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 186
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  na zile za nyongeza ya mwaka 2011/2012 zilikwenda wapi?
   
 4. s

  slufay JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  So what next.
   
 5. O

  OMEGA JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 671
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 60
  They have to be paid retrospectivelly from July 2011
   
 6. G

  Gwaks makono Senior Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Aug 27, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  labda wanaweza kuwaongezea zote katika bajeti ya mwaka huu pamoja na zile za 2011/2012
   
 7. G

  Gwaks makono Senior Member

  #7
  Jul 17, 2012
  Joined: Aug 27, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kunywa bia mwanzo mwisho
   
 8. kiagata

  kiagata Senior Member

  #8
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Sijasikia zile 50,000/= zilizopanda toka 2011 julay kama zitalipwa katika malimbikizo haya.Yaani 50,000 x 12 months = 600,000.Hizo ni nyongeza ya mwaka jana.
  Sasa ongeza 600,000 na hizi 150,000 wanatakiwa wapewe 750,000/= katika mwezi huu.Ndicho tulichokuwa tunahitaji kusikia bungeni leo.
   
Loading...