Uzembe Gereral Hospital Dodoma

Malolella

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
366
111
Kitengo cha huduma ya mafaili kwa wagonjwa wa marudio hospitali ya rufaa Dodoma kina uzembe uliokithiri. Nimefika hapa tangu asubuhi faili halionekani. Mgonjwa anatakiwa kutolewa nyuzi baada ya kufanyiwa upasuaji lakini faili halionekani. Nusu ya wagonjwa mafaili hayaonekani. Chumba cha kutoa nyuzi wanataka faili. Mpaka sasa wagonjwa wamelala akiwemo ndugu yangu hawajui wafanye nn. Huu uzembe wa kitengo hiki hauvumiliki. Wahusika chukueni hatua haraka...manesi wanakiburi tena wavivu wa kupindukia.
 
Back
Top Bottom