Ajali Mbeya!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali Mbeya!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kassim Awadh, Jul 16, 2012.

 1. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Mtu mmoja amefariki dunia papo hapo na wengine Saba kujeruhiwa baada ya lori aina ya Scania mali ya Ndugu Bhanji kufail breki katika mteremko wa Nzovwe na kwenda kuigonga gari ndogo Prado iliyokuwa ikiendeshwa na mama Edna Sanga ambaye amefariki katika ajali hiyo. Dereva wa Lori aliyefahamika kwa jina moja la Daud ni moja ya majeruhi waliolazwa Rufaa Mbeya.
   

  Attached Files:

 2. v

  viane Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mungu awapumzishe kwa amani... R I P
   
 3. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duu maroli mengi ya mbeya brek zake huwa ni mbovu!
  R.i.p waliofariki!
   
 4. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 5. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 6. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Asante mkuu Dotworld naona hilo lori front exel ilirudi nyuma ikakutana na tairi za nyuma!
   
Loading...