Kupanga uzazi unamwambia nini Kikwete? Je anao watoto wangapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupanga uzazi unamwambia nini Kikwete? Je anao watoto wangapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpayukaji, Jul 17, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  [h=3]Welcome home Mr President[/h]
  [​IMG]
  May be, just maybe, this guy is asking himself questions like: Sir, how was the family planning conference? Did they ask you how many kids you have sir? If they did, what was you response sir? Is there any lesson you got there or just yada yada as usual? Again, how many millions of shillings did you burn there? Do you still remember doctors' strike and the tortures of Dk Steven Ulimboka sir? Sir, did you hear anything from Switzerland? Are our funds safe there?
  Tujiulize. Jakaya Kikwete anao watoto na wake wangapi? Kwanini tunajua idadi ya watoto wa Marehemu baba wa taifa Mwalimu Julius Nyerere, rais mstaafu Benjamin Mkapa na hata kwa kiasi fulani rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi lakini hatujui idadi ya watoto wa Kikwete?
   
 2. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kikwete hana haja ya kuficha idadi ya watoto wake kama hakuna namna. Yeye kama public figure anapaswa kutaja idadi ya watoto wake ili wananchi wake wampime kama anapanga uzazi au la. Nimetokea kumhusudu Jacob Zuma ambaye hafichi tamaa yake ya kuoa wake wengi na kuzaa sana. Heri rais wetu angeiga mfano huu wa uwazi na ukweli.
   
Loading...