Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huduma za Hindu mandal ni mbovu, inazidiwa mbali na Mwananyamala ya serikali kwa ujumla. Hivi karibuni kijana wangu alilazwa pale, kwanza lugha ya wauguzi ilikuwa mbaya, pia kubadilishiwa drip ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Yaweza kuwa nchi yetu inao wanaojiita wasomi kwa maana ya kuwa na vyeti vinavyoonyesha upeo wa kuhitimu elimu za kufundishwa darasani. Jambo la kujiuliza ni kitu gani hawa wasomi wamewezesha nchi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nimefuatilia na kuona kuwa katika familia au katika ndoa wanaume wanaongoza kufa kuliko wanawake. wajane, au ni msongo
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Kuna mtangangazaji wa kipindi sport extra na sport bar wa Clouds radio na tv anajiita Mbwiga Wa Mbugike ananifurahisa sana. Anajua kusimulia story za kimpira kwa mbwembwe safi huku akitumia maneno...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Inasadikika amenunua mtambo Israel unaoweza kuingiliana na simu ya mtu yoyote kwa mita 5, na ndo aliyehusika kumtumia Nchemba mesej za vitisho vya mauaji kupitia simu za wabunge wa chadema,
0 Reactions
71 Replies
6K Views
Ni maneno yanayoudhi. Ni yanayoonesha kutojali na kutowajibika hasa pale panapokosekana Takwimu. Yapigwe vita. Maneno yenyewe ni haya: 1. 'wapatao' 2. 'takribani' Ukiweza ongeza mengine. Ni...
2 Reactions
61 Replies
6K Views
kijana mmoja anayetambulika kwa jina la dindayi sayi alikamatwa mkoani kahama na makachero wa polisi kwa tuhuma za kumteka dk. ulimboka na jaribio la kuua amepewa zamana na polis wa kituo cha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna taarifa za kuaminika baadhi ya madaktari waliotishwa au kufutiwa leseni hapa nchi wamefunguliwa milango ktk Balozi za baadhi ya nchi kama RWanda, Burundi, Namibia, Afrika ya Kusini, Zambia nk...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ajabu na kweli, tumeshangazwa sana na baadhi ya chem chem muhimu sana hapa kilimanjaro kukauka na kuwa kavu kabisa, Nimekulia hapa moshi machame na tangu kuzaliwa kwangu tumekuwa tukitumia maji...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nikianza na Madame spika nakumaindi sana kwa hatua uliyoichukua kulifikisha bunge hapa lilipo,nakwambia wazi kabisa bunge uliloachiwa na mzee sita umeamua kuliua na kuamua kuwa na bunge lako wewe...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
KUZAMA kwa meli ya Skagit Jumatano iliyopita ni ajali ya tatu ya aina hiyo kutokea hapa nchini na kusababisha vifo vya watu wengi.Mwaka 1996, ilitokea ajali ya MV Bukoba iliyozama Ziwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu naomba mnitoe tongotongo. Ni mara nyingi huwa namsikia spika akizungumzia busara za kiti wakati wa maamuzi ya mambo muhimu. Nachotaka kufahamu ni kama kanuni zinaruhusu spika kuamua vile...
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Naangalia kipindi cha "Talk to Al Jazeera" jinsi Rais Kagame anavyomuweka sawa mtangazaji na so called "westerners" kwa jinsi wanavyotengeneza matatizo ya Congo kuwa part ya Rwanda. Kagame ni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Sijui kama kwenye nchi nyingine duniani kuko hivi ambapo serikali husika ujisifia kwa kupandisha takwimu bila kujali ubora na faida vikoje, mfano 1. Tunajivunia shule nyingi za sekondari bila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hali si shwari, polisi Unguja waaza kupiga mabomu ya machozi kila kona ya Mji. Habari zaidi kufuata.
0 Reactions
52 Replies
6K Views
KUZAMA kwa meli ya Skagit Jumatano iliyopita ni ajali ya tatu ya aina hiyo kutokea hapa nchini na kusababisha vifo vya watu wengi.Mwaka 1996, ilitokea ajali ya MV Bukoba iliyozama Ziwa Victoria...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Na Mwandishi Wetu WAKATI vitendo vya uhalifu vikizidi kuongezeka sehemu mbalimbali nchini, sasa silaha kutoka nchi jirani zinadaiwa kuingia kwa wingi na kuuzwa mitaani na baadhi yake kubadilishwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Sunday, 22 July 2012 01:04 Salma Said na Raymond Kaminyoge, Zanzibar SERIKALI imesitisha rasmi zoezi la uokoaji wa miili ya watu waliozama katika ajali boti ya Mv Skagit Jumatano iliyopita...
0 Reactions
0 Replies
951 Views
KAMPUNI ya Usambazaji wa MajiSafi katika Mkoa wa Dar es Salaam na baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Pwani, (Dawasco) limesema Jiji la Dar es Salaam litakabiliwa na uhaba wa maji kwa siku kadhaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu vituo vya mafuta vya BP inaonesha vinamilikiwa PUMA hivi sasa. sifahamu kama ni Tz tu.nini inaweza kuwa sababu iliyowakimbiza hawa jamaa? pengine kuna wadau wanafahamu ukweli.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom