Tanzania: nchi ya kujisifia kwa takwimu na si ubora! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania: nchi ya kujisifia kwa takwimu na si ubora!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kivyako, Jul 22, 2012.

 1. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,846
  Likes Received: 4,218
  Trophy Points: 280
  Sijui kama kwenye nchi nyingine duniani kuko hivi ambapo serikali husika ujisifia kwa kupandisha takwimu bila kujali ubora na faida vikoje, mfano
  1. Tunajivunia shule nyingi za sekondari bila kujali kinachozalishwa huko
  2. Tunajivunia idadi kubwa ya wabunge na tunaendelea kucreate majimbo mengine
  3..........
  Ndg mwana jf unaweza kuongeza idadi ya vitu ambavyo serikali ya Tanzania inajivunia kitakwimu lakini ubora wake haukidhi au havina faida kabisa kwa taifa.
  Nawasilisha.
   
Loading...