Busara za kiti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Busara za kiti

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyenyere, Jul 22, 2012.

 1. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,932
  Trophy Points: 280
  Wakuu naomba mnitoe tongotongo. Ni mara nyingi huwa namsikia spika akizungumzia busara za kiti wakati wa maamuzi ya mambo muhimu. Nachotaka kufahamu ni kama kanuni zinaruhusu spika kuamua vile anavyoona nivema ama la.
   
Loading...