Rizmoko ahusika na sms za wabunge wa chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rizmoko ahusika na sms za wabunge wa chadema

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kima mdogo, Jul 20, 2012.

 1. K

  Kima mdogo JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inasadikika amenunua mtambo Israel unaoweza kuingiliana na simu ya mtu yoyote kwa mita 5, na ndo aliyehusika kumtumia Nchemba mesej za vitisho vya mauaji kupitia simu za wabunge wa chadema,
   
 2. gulio

  gulio JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  hiyo kali sasa ataishi wapi?
   
 3. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,846
  Trophy Points: 280
  another new movie begins.....

  mwisho wa siku staring lazima abaki hai akifa mbwa anachukua ustaa
   
 4. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Marando na wenzie Walikuwa wamelewa wale siku nzima wameshinda baa kurasini wanakunyw siku nzima ni mambo ya ulevini wanayaleta huku
   
 5. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Hivi hiyo bilauri uiliyoshika ndani kuna wanzuki au kangara ?
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  mwambieni Aulize Syria nini kinatokea!!
   
 7. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Siyo 5mt bali 5Km
   
 8. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Inadaiwa ni Miraji ndo mwenye mautundu hayo wakuu
   
 9. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  Mungu yupo, vitu vyote vitafika mwisho. Wawo wanamajeshi na pesa, sisi tuna Mungu.
   
 10. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Please don't try to implicate the Uday, Qusay, Motassim & Saif Al Islam stuff. Too early.
   
 11. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  nitakuja baadae kuona kama kunaushahidi unaoonesha kuwa siku ya tukio Riz alikuwa karibu(5m) kutoka wabunge tajwa wa cdm. Itasaidi kuanza para ya hitimisho.
   
 12. r

  raha54 Member

  #12
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Prove it!
   
 13. M

  Mboerap Senior Member

  #13
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hana lolote huyo mhasibu wa ccm. Huyu jamaa alikua hana umaarufu ndio maana amekuja na stail ya kuzua mambo bungeni. Kwani ana hatari gani kwa cdm mpaka atishiwe kifo? Hio ni janja ya kufunika ishu ya EPA
   
 14. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #14
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bora tutandikane tu tujue moja tushachoka kufanywa Mashoga na CCM.
   
 15. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #15
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Nitarudi baaadae saaaana...............!!!!!!!!!!!
   
 16. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #16
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,386
  Likes Received: 774
  Trophy Points: 280
  vyombo vya uchunguzi pamoja na makampuni ya simu watrupe ukweli kuhusu hili
   
 17. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #17
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,059
  Likes Received: 8,541
  Trophy Points: 280
  Loh...nimeamini TBL ni noumer sana.yaani washikaji wamekata kilaji weee hadi zikawatuma waite press conference.

  Mtambo wa kutuma fake SMS ....huh?...cooomon marando punguza ulabu mzee.THERE IS NO SUCH A THING.
  Bora angesema application,software but mtambo?..no man.
  Kwa kujua anasema uongo ndo maana akakataa kutaja jina kwa kuogopa Lawsuit.
  Am not buying this mtambo story.
   
 18. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #18
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Wewe lazima ni ***** kweli kweli kwani APPLICATION SOFTWARE sio mtambo? Unajua kikwere tu lakini kiswahili hujui!!
   
 19. Sisomeki

  Sisomeki Senior Member

  #19
  Jul 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  its possible to send sms with any number via gang sms application all u need is USD 3 do your google
   
 20. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #20
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,059
  Likes Received: 8,541
  Trophy Points: 280
  you are a NUTJOB, unataka kusema nini hapa?

  Haya tuambie huo mtambo umesimikwa wapi na umeingiaje hapa nchini
   
Loading...