kijana aliyetuhumiwa kwa kosa la kumteka dk urimboka na jaribio la kuua aachiwiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kijana aliyetuhumiwa kwa kosa la kumteka dk urimboka na jaribio la kuua aachiwiwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kavishe paul, Jul 22, 2012.

 1. k

  kavishe paul New Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kijana mmoja anayetambulika kwa jina la dindayi sayi alikamatwa mkoani kahama na makachero wa polisi kwa tuhuma za kumteka dk. ulimboka na jaribio la kuua amepewa zamana na polis wa kituo cha kati centre police baada ya kutoa hongo ya milioni mbili ili asifikishwe mahakamani kijana huyo ambaye amekutwa na bastora isiyo ya halali kwa sasa yuko nje kwa zamana ya police
   
Loading...