Nawamaindi sana SPIKA MAKINDA,JOB NDUGAI,WENYEVITI WA BUNGE,AG,LUKUVI NA WABUNGE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawamaindi sana SPIKA MAKINDA,JOB NDUGAI,WENYEVITI WA BUNGE,AG,LUKUVI NA WABUNGE

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Jul 22, 2012.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Nikianza na Madame spika nakumaindi sana kwa hatua uliyoichukua kulifikisha bunge hapa lilipo,nakwambia wazi kabisa bunge uliloachiwa na mzee sita umeamua kuliua na kuamua kuwa na bunge lako wewe mwenyewe kama ni ubunifu basi hongera,nakumaindi vile tu navyoona unapozima mijadala hata kama ina tija kwa taifa,nasema nakumaindi kwakua na wewe ni sehemu ya watanzania wanaoiua nchi,nakumaindi sana unaposhindwa kuthibitisha ushahidi unaotolewa na wabunge kuwa ni wa kweli au lah!nikianza na wa zitto kabwe kuhusu mkulo na ule wa mbunge aliye likizo dhidi ya Pinda ambaye naye nam-mindi kwa kupenda kulidanganya BUNGE na taifa,nakumaindi vile unavyoliendesha bunge kama N.G.O yako,unapojifanya kutumia KANUNI kuiokoa serikali hata kama ina haribu,nachotaka kujua je wewe upo hapo kwa niaba ya serikali au?


  Naibu Spika,nakuja kwako,nakumaindi sana unapokuwa kwenye kiti chako,mimi sikujui wewe na nimekujua wewe na sehemu ya tabia yako kupirtia bunge,,,,yaani wewe ndo unajitafutia umaarufu kupitia bungeni kabisaaaa,,,,unataka asbuhi uwe unaandikwa kwenye magazeti,haina tija ile kwako na kwetu wananchi,nahisi unauwaza uspika kwa 2015 maana mama makinda anadai yeye hatarudi tena bungeni,maneno ya shombo na ya kwenye khanga sijui kama yana maana?unapomwambia mwenzio eti KITUKO?nyani haoni kundule mzee wangu,unapomwambia mtu maneno ya shombo ujue anaweza akakujibu shombo zaidi kiasi kwamba reaction utakayoichukua ikawa mbaya sana,imagine siku uliyomwambia mwenzio kituko in case kama angeamua kukujibu mbovu zile za uswahilini ingekuwaje mzee wangu?yaani huna busara kabisaaaa,sasa alinyamaza pia ni dharau kwako,kwa binadam tulivyo naamini LIMEKUGANDA HILO,pia timuatiomua bungeni haina tija babaaaa,,,sasa wabunge washazoea kutolewa nje na ni kawaida kabisa,nakushauri kikao kijacho ubadilike,

  Mwanasheria wa serikali,
  Mzee wangu Werema,sasa nakuona unavaa viatu vya wanasiasa,tambua kuwa upo hapo kwa taaluma yako as mwanasheria wa serikali na si vinginevyo,sasa unapoanzaa kufuata siasa,nadhani unajiharibia sana,mimi nakumaindi sana tena sana,unapokua na uharaka wa kusimama na kuanza kuongea maneno ya shombo,tambua kuwa kuna mambo mengi wewe kama mwanasheria uliye bungen unapaswa kutuambia,sisi watanzania tunajua madudu mengi sana,unapaswa kutuambia kwanini mara nyingi mashindwa kesi ambazo kimsingi mnapaswa kushinda?tell us sheria inasemaje kuhusu twiga wetu?acha siasa,wanasiasa watakuvua nguo hao,hawakawii kukutumia na kukutupa.

  Wenyeviti wa bunge nawamaindi sana,labda Zungu kidogo sikumaindi sana ila the rest nawamaindi sana.maana mnacheza ngoma ileile ambayo wanacheza spika na naibu.

  OOOO,SASA LU-KUVI
  Huyu mzee mi nam-maindi sana anapopenda kuwatoa wenzie kwenye mijadala ya maana,,,,hasa watu waliotofauti na yeye,aliwah kumwambia Deo asisaini karatasi ya zitto,Lukuvi ujue hao wabunge umekutana nao hapo,na nyie wabun ge wakat mnaomba kura Lukuvi hakuwepo,sasa kwanini awasumbue,mnachokiongea ni kuhusu wananchi,mwenzenu anawakilisha wana Ismani,sasa Lukuvi anapoomba miongozo ya kukatisha tamaa hawatendei haki watanzania,,,,,,,,

  Naw kama kuna mtu unam_maind sema
   
 2. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  jiandae kuokotwa mabwepande...
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  baada ya kuathiriwa na mafuriko ndo nikahamia huku MABWEPANDE,NAISHI HUKU MDAU
   
 4. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  basi jiandae kung'olewa meno na kikoleo
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  aaaaaa,,,,,,unaogopa?
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu, nyie ndo kweli mnaliwakilisha jamvi la Great Thinkers, hakuna atakaye kuwa na hoja yenye mashiko kukataa kuwa wewe ni Great Thinker!!!!!
   
 7. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Ujumbe mzuri sana.Tatizo wanaoambiwa sasa!!!
   
Loading...