Hindu Mandal Huduma Hovyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hindu Mandal Huduma Hovyo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Goodrich, Jul 22, 2012.

 1. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Huduma za Hindu mandal ni mbovu, inazidiwa mbali na Mwananyamala ya serikali kwa ujumla.
  Hivi karibuni kijana wangu alilazwa pale, kwanza lugha ya wauguzi ilikuwa mbaya, pia kubadilishiwa drip ni mpaka uwaombe wauguzi. Lakini kali zaidi muda wa kupewa dawa ulifika na hakuna aliyekuja kuleta dawa, na walipofuatwa wakatushauri tukanunue maduka ya nje kwamba hosp haina dawa hiyo. Muda wa kuwekewa dawa ukapita na kuharibu dozi hadi tuliposhtuka na kuhama hosp.
  Hindu Mandal Hospital zamani ilikuwa hospitali nzuri sana miongoni mwa hosp za kulipia.
  Hii leo kinachoitofautisha Hindu Mandal na hosp za serikali ni gharama. Huduma ambayo kwenye hosp ya serikali ungelipia elfu 30, hindu mandal utalipa laki mbili au zaidi.
  Hiyo ndiyo hindu mandal hosp, gharama mbele huduma mbovu !
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Hindul mandal we acha tu
  kwanza kila kitu ni very long process
  pili wafanyakazi hasa wahudumu hawana off
  ndo maana wako hivyo
  yaani ni full usumbufu hapo
   
 3. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  nao waingizwe katika mpango wa MoU huduma zitaimarika !
   
 4. M

  Martinez JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 518
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Its absolutely true !
  Hiyo Hindu Mandal Hosp ni kero, gharama kubwa kuliko Aga Khan, lakini huduma mbovu kuliko hata Mwananyamala ambayo ni ya serikali na ina idadi kubwa ya wagonjwa.
  Ila ninachojua kwa sasa watu wengi hawaendi pale, wanapajua ubovu wake kwani zipo hosp nyingi nzuri tena kwa bei nafuu.
  Hiyo hindu mandal ni uozo !
   
Loading...