madaktari wanahitajika nchi wanachama wa EAC na SADC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

madaktari wanahitajika nchi wanachama wa EAC na SADC

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ngoshwe, Jul 22, 2012.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kuna taarifa za kuaminika baadhi ya madaktari waliotishwa au kufutiwa leseni hapa nchi wamefunguliwa milango ktk Balozi za baadhi ya nchi kama RWanda, Burundi, Namibia, Afrika ya Kusini, Zambia nk ili wakahudumu katika nchi hizo ambapo watapatiwa vibali vya kufanya kazi na kujiendeleza. Inadaiwa tayari baadhi ya madaktari wamekwishatimikia nje ya Tanzania ambapo maslahi ni bora zaidi. Hii inatokea katika wakati ambapo nchi iliyowasomesha inaendeleza siasa kuhusu hatima ya madaktari wanafunzi...
   
 2. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  "Cha mjinga huliwa na mwelevu"
   
Loading...