BP out of business? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BP out of business?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MTAZAMO, Jul 21, 2012.

 1. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,482
  Likes Received: 5,557
  Trophy Points: 280
  Wakuu vituo vya mafuta vya BP inaonesha vinamilikiwa PUMA hivi sasa. sifahamu kama ni Tz tu.nini inaweza kuwa sababu iliyowakimbiza hawa jamaa? pengine kuna wadau wanafahamu ukweli.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  hii ni old news now
   
 3. BABU CHONDO

  BABU CHONDO JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ulikuwa hujui kuwa kampuni imefilisikaikiwa imechangiwa na kulipa fidia kubwa kwa mafuta yalimwagika baharini

  Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
   
 4. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,059
  Likes Received: 7,275
  Trophy Points: 280
  Puma wameinunua BP na Kobil.
   
 5. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2012
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kuna litu limejificha, wenye ufafanuzi watujuze.
   
 6. mi_mdau

  mi_mdau JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Umechelewa kidogo kugundua hilo, ni miezi isiyopungua minne. Now serikali na PUMA wamegawana shares za iliyokuwa BP
   
Loading...