Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni kutoka kilosa-morogoro ambapo kijana huyo alitaka kufanya hivyo baada ya kumshaur baba yake asioe mke wa pili na kughairi.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
mmeweka promosheni na shindano, sasa namba chini ya kizibo hazisomeki vizuri na mnajua haya sio maji. leo vizibo vyote naambiwa nimekosea namba, hata kama nimemulika na katochi kangu ka simu. huu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Umeshawahi kujiuliza kwamba ikitokea umeamka asubuhi na kuambiwa moja ya makampuni ya simu yanayotoa huduma za kifedha yamefilisika.....???then what will happen to those money on air???simaanishi...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nimekaa na kufikiria hali ingekuwaje iwapo ndugu Augustino Lyatonga Mrema angechukua nchi mwaka 1995? Mrema hakuwa dhaifu wala legelege na aliondoka CCM kwa ushujaa mkubwa
0 Reactions
13 Replies
2K Views
1: If the Road is Beautiful then, Worry About the Destination, But if the Destination is Beautiful, Then Don't Worry About The Road! 2: We Always Feel that GOD Never comes on Time When We...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Binaisa’s son jailed 12 years for defilementBinaisa Posted Thursday, July 26 2012 at 01:00 In Summary The judge says prosecution had produced evidence beyond reasonable doubt to convict...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hatufanyi mgomo tunaandamana tu. Tunaandamana Kudai NSSF NA PPF zetu.
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wadau Kituo cha kwa Manyanya kimekidhili wavuta unga na mateja nnje nnje ukipita hapo utawaona wanavyojidunga madawa yao na kuvuta bangi, cha kushangaza nyumba ya nne kutoka hapo ni nyumba ya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Malalamiko yaliyojitokeza kwenye ugawaji wa viwanja uliofanywa na Manispaa ya Temeke ukihusisha viwanja vilivyopimwa kule Gezaulole ni matokeo ya mipango mibovu ya serikali kuhusu ugawaji huo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Inakuwaje umepewa nafasi ya ukurugenzi katika mojawapo ya ofisi ya serikali kabla ya hapo ulikuwa unashirikiana vizuri na wafanyakazi wenzako lakini baada ya kupewa hiyo nafasi unaanza kuwadharau...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu duh, sikuwa najua nimekutana na hii private agancy ya ujasusi na upelelezi: Tanzania Private Investigators and Detectives, Matrimonial Surveillance, Relationship Investigations, Missing...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
wana jf Ni tetesi tu lakini yawezekana kusemwa. Hatimaye yule kijana anayesemekana ametokea nchi ya jirani (kenya) anayehusishwa na tukio la utekajinyala wa Dr.Ulimboka, ameweza kutambua...
1 Reactions
112 Replies
10K Views
Wana jf ama kwahakika hali ya maisha kwasasa ngumu kuliko maelezo,kuna wakati najiuliza ugumu huu ni kwa wote au baadhi? Kuna wakati kama sasa Serikali imeongeza kima cha chini cha...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
A New Report/ Lives on Hold: AgriSol's Land Deal in Tanzania Creates an Uncertain Future for More than 160,000 People****** ******* ******* ******* ******* ******* ******* ******* ******* *******...
0 Reactions
0 Replies
933 Views
Ramadhan Kareem wana jamii. Jana katika kipindi cha Power Breakfast Clouds FM walialikwa reporters wa supersport katika mashindano ya kagame. Kwa wale wenzangu wachache mliopata angalau nafasi...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Mweyekiti wa G55 amepongeza juhudi za UAMSHO kuleta mabadiliko ya muungano. Amesema kwame tuko nyuma yenu na amini mia kwa mia jiwe mlotupa litaua ndege wawili kwa mpigo! Maadam kukomboa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mtakubalina nami kwamba bodi ya wakurugenzi ina mchango mkubwa sana kwenye uendeshaji wa shirika lolote lile pamoja na mashirika yetu ya umma. Ukiangalia mashirika yote yanayofanya vizuri yana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi jamani hili tatizo la umeme tz mpaka lini? Kwani bila Tanesco, Tz hatuwezi kumaliza tatizo hili!, Kwanini hawa viongozi wetu wasiruhusu makampuni makubwa yenye uwezo yaje kuwekeza ili...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wapendwa. Najua ndugu zetu WAISLAM wapo katika mfungo wa mwezi mtukufu wa RAMADAN, kipekee niwatakie kheri na fanaka"RAMADAN KHAREEM" Ni siku ya tisa tangu nimerejea jijini...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Nikiwa muajiriwa katika kampuni binafsi moja hapa nchini. Nimeamua kukuandikia hii barua kutoa dukuduku langu la moyoni juu ya hiyo sheria ya mafao uliyo isaini ya NSSF, PPF na kadhalika. Wewe...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…