Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Walimu wa shule za msingi wameonekana ni waoga sana katika kutetea haki zao,lakini makucha yao yameonekana kwa 30% ya wanafunzi waliojiunga sekondari hawawezi kusoma na kuandika.Serikali iwe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nassor Ahmmed Mazurui Wananchi wametakiwa kuachana na sera za vyama vyao vya siasa juu ya mfumo wa muungano wakati wa kutoa maoni yao ya undwaji wa katiba mpya ya jamhuri ya muungano Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Telegraph.co.uk Miners in Zambia have killed a Chinese manager by pushing a coal trolley over him as tried to flee rioting strikers at a mine in the south of the country. A copper mine in...
0 Reactions
2 Replies
888 Views
Aliyerudi CCM ni ndugu Nuru Maeda ambaye alikuwa mwenyekiti wa tawi la Magadirisho kwa tiketi ya CHADEMA hakuwa mwenyekiti wa CHADEMA kata. Aliye kaimu uwenyekiti kata chadema ni Ndugu Paul...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ninawakumbusha tuu watawala wa Tz haitajalisha miaka mingapi itapita ila ipo siku moja ukweli juu ya ULIMBOKA, KOLIMBA, KOMBE na wengine wengi utajulikanika, na mwisho wenu utakuwa mbaya sana! Si...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ifikie wakati sasa tuombe vyombo vyetu vya habari kama ITV, STAR TV, TBC, CHANNEL 10, CLOUDS TV, SIBUKA, na Vyombo vingine kama radio na Magazeti..,KUANZISHA HOT INTERVIEWS kwa Viongozi Wetu wa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Baada ya kutuhumiwa na Tundu lisu wa chadema kuwa alipokea rushwa ili kukwamisha bajeti ya wizara ya nishati na madini,Mbunge wa Simanjiro Olesendeka alikua jana jimboni kwake ktk kijiji cha...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Basi la Sumry kutoka Mbeya to Sumbawanga ambalo lilikuwa litoke Mbeya Saa 4 kamili mpaka sasa ni saa 6 hakuna dalili zozote za kuondoka hata basi lenyewe halipo stand. Hivi wahusika wa Sumry huu...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
JUMAPILI, AGOSTI 05, 2012 07:26 NA JOHN MADUHU, MWANZA HALMASHAURI ya Wilaya ya Sengerema kwa kushirikiana na wafadhili kutoka Korea Kusini wanatarajia kujenga hospitali ya meli kwa ajili ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa siku za hivi karibuni tumeshuhudia matukio ya maafa makubwa yakiwakumba wananchi ambao wamejenga na kuendesha shughuli zao za kujikimu kimaisha kwenye maeneo hatarishi kama kwenye mabonde na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Iliripotiwa kuwa Mbunge wa Ubungo, J. J. Mnyika ataanza leo jumatatu kukusanya saini za Wabunge ili kuwezesha kuwasilisha hoja binafsi ya dharura kuhusu marekebisho ya sheria ya hifadhi ya Jamii...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Huyu bwana ana malengo mazuri aim yake si tu kutunyima kukojoa jamani bali ni kuhakikisha ardhi inakuwa salama sasa nahisi hili la kukojoa kwenye mabasi ya safari anatakiwa ajiandae upya...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
kiukweli inaboa na inakera,serikali ilitangaza kuwa zoezi la sensa litakalofanyika tarehe 26.8.2012 litafanywa na walimu ambao watapewa kipaumbele,cha kushangaza walimu hao wengine hawakupewa...
0 Reactions
1 Replies
868 Views
MKURUGENZI wa Manispaa ya Kinondoni, Fotnatus Fwema, amesema kuwa ucheleweshaji wa mishahara ya watumishi wake umesababishwa na mfumo mpya wa serikali katika ulipaji. Fwema alisema hayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukiwachukua watoto wawili wadogo wakike na wakiume ambao hawajaanza kuongea neno lolote ukawatenga peke yao kabisa hadi wakifika umri wa kubalehe. Kwanza nadhani hawatajua lugha yoyote zaidi ya...
0 Reactions
3 Replies
982 Views
Habari nilizopata hivi punde ni kwamba hotel ya seacliff inawaka moto sasa hivi. Na moto ni mkubwa sana. so wenye access nafikiri watafuatilia kwa karibu hili swala. Mia
1 Reactions
53 Replies
7K Views
  • Closed
Mzee Moyo anasema tumechoka kusalitiwa na ndugu zetu wa Tanganyika katika muungano, vijana semeni muungano munaoupenda ni haki yenu, muungano tulioufanya sisi, Karume na Nyerere si lazima...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jambo wan jf. ukurasa huu wa jf unatupa mengi mazuri sana. nacho omba mnapo tupa taarifa zenye pdf format mzi edit ili tusiokuwa na simu zinazosoma pdf format files tufaidi pia.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba anayejua kuhusu Quepasad atujuze wakuu. Asanten
0 Reactions
3 Replies
941 Views
Monday, 11 April 2011 Hatimaye,Laurent Gbagbo na mkewe Simone amekamatwa kama Saddam Hussein akiwa amejificha shimoni huku jasho likimchuruzika. Ameondoka kwa aibu, pingu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…