Hii Mamlaka ya Maji Morogoro (MORUMWASA) inafaa ivunjwe mara moja kwa sababu inachangia wananchi kukumbwa na magonjwa ya mlipuko wanapojikuta wanatumia maji yasiyofaa kwa binadamu.
Uzembe huu...
Kwa kweli namkumbuka Tido Mhando kwa kipindi kifupi alipokuwa TBC niliweza kujivunia sana chombo hiki...lakini si leo hii. Imagine coverage ya mashindano ya Olympic inanilazimu kujiunga na...
Nina amini kuwa, members wote wa Jf ni wasomi, na labda mwenye kiwango cha chini kabisa atakuwa kidato cha 4. Tumekuwa tukifundishwa na hata kufundisha kuwa "no research, no right to...
Huyo jamaa hapo juu aitwaye Kailash Singh (66) ametoa mpya kwa kukaa miaka 38 bila kuoga wala kunyoa ndevu. Kisa?Aliweka nadhiri kuwa ataoga siku akipata mtoto wa kiume. Singh ameingia kwenye...
Rushwa imekithiri na itaharibu zoezi zima la sensa.
Kijana aliyemaliza chuo kikuu kaomba ukarani wa sensa na majina yaliporudi katika kata yake jina likawa halipo.
Msamaria mwema mmoja akamtonya...
Napenda kutumia fursa hii kuwapongeza vijana wenzangu ambao mungu kawaona na kuwapa nafasi ya kuwa makalani wa sensa,pia haitokua busara km ctowajaza subira na uvumilivu kwa wale wote ambao...
Nimesikia mara nyingi kuna mikoa hapa Tanzania imeongezeka.Hivi sasa Tanzania ina mikoa Mingapi naomba msaada huo.Ingependeza mngenisaidia Ramani mpya ya Tanzania.
HIKI CHA KWETU NI CHA NYOKA UKIFANANISHA NA VICHWA HIVI!
http://www.terra.es/personal2/monolith/0africa.htm
wakuu hebu tuangalie vichwa hivi na tujiulize kama kunamrithi wake au kakizazi ketu ka...
10/8/2009 siku nisiyoisahau maishani
baba yangu mlezi alienifkisha hapa nilipo,alienishauri pale nilipokosea
alieakasirika [pale nilipoaribu zuri la kumkumbuka baba yangu huyu
ni hekima aliokuwa...
Kuna ajali mbaya imetokea maeneo ya Kihonda/Mkundi Morogoro,inasemekana kuna watu wamepoteza maisha na zaidi ya 40 kujeruhiwa!ajali hiyo imehusisha lorry,bus la Shabibby na bus lingine la Sumry...
Nipo eneo la makuda kihonda Morogoro ambapo kunàjali ya mabasi matatu Shabiby, Sumry na Alis na lory moja.
Kumekuwa na foleni kubwa sana kwani magari ya kutoka dodoma na yanayotoka dar...
Kelvin Matandiko
JESHI la Polisi kupitia kikosi cha Usalama barabarani nchini kimesema jumla ya ajali za pikipiki (bodaboda) 2601 zilizotokea kuanzia Januari hadi Juni mwaka huu zilisababisha...
Ndugu wana JF naomba Msaada Wa Kupat Jina La Wimbo Huu! Wimbo Unasikika Kipande Kidogo tu Kwenye Tangazo La Eid Katika Radio Clouds ni Wimbo wenye mahadhi Ya South Africa kuna Sauti ya Mdada...
Basi la Sabena aina ya Scania lenye namba za usajili T 570 AAM, lililopata ajali na kusababisha vifo vya watu 17 na wengine 78 kujeruhiwa.
Watu 17 wamefariki dunia na...
Leo katika kipindi cha Jambo - TBC wabunge wawili, wa kisarawe na mwingine, walikuwa wakiongelea kulinda ajira ya mtanzania. Walisisitiza sana 'ajira za watanzania' kutokufanywa na wageni. Swali...
Habari wanajamvi?
Naomba kufahamu juu ya Vocha Mpya ya Vodacom yenye thamani ya Tshs. 450/=. Nimepata mkasa wa kubishana na kufikia hatua kuonekana mkorofi dhidi ya wauzaji wadogo wa Vocha, kisa...