kukatika kwa umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kukatika kwa umeme

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tononeka, Aug 10, 2012.

 1. t

  tononeka Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  jamani huu ni mgao au ndio mabomu ya kibamba!!!? mbezi ya kimara hamna umeme toka saa 7 usiku, je ni nchi nzima au?
   
 2. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60

  Zitto Zuberi Kabwe alitahadharisha kwamba uwezekano wa mgawo upo, ila Waziri wa nishati na madini Prof.Muhongo na Katibu wake Maswi wakam-beza na kusema mgawo wa umeme hautatokea tena kamwe maana uliokuwepo ulikuwa wa kupanga. Hebu jaribu kucheck nao TANESCO watuhabarishe, ingawa naamini hata kama ni mgawo watakuambia ni tatizo la kiufundi. ha ha haaa!!!!!!!!!!!

  HILI LI-SERIKALI BHANA, YAANI UONGO NI SERA RASMI YA SERIKALI, ila tu usiitangaze lakini ITEKELEZE.
   
Loading...