Rushwa na wateuzi wa makarani wa sensa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rushwa na wateuzi wa makarani wa sensa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MIGNON, Aug 10, 2012.

 1. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,586
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Rushwa imekithiri na itaharibu zoezi zima la sensa.
  Kijana aliyemaliza chuo kikuu kaomba ukarani wa sensa na majina yaliporudi katika kata yake jina likawa halipo.
  Msamaria mwema mmoja akamtonya ya kuwa mbona jina lilionekana wilayani.
  Kijana katika kufuatilia akaambiwa ya kuwa mtendaji kata alikuja kueleza uwa muombaji na mbovu na hawezi kutembea umbali.Kijana aliyeomba kazi ni mchezaji wa mpira wa miguu.
  Rushwa imetumika sana katika zoezi hili .
   
Loading...