Kizazi cha nyoka!

kelvito

JF-Expert Member
May 30, 2012
386
100
HIKI CHA KWETU NI CHA NYOKA UKIFANANISHA NA VICHWA HIVI!
[url]http://www.terra.es/personal2/monolith/0africa.htm



wakuu hebu tuangalie vichwa hivi na tujiulize kama kunamrithi wake au kakizazi ketu ka kuanzia miaka ya 1945 kakoje,kwanza
hatujui tunataka nini mf ccm wako ujamaa na kujitegemea in practice hakuna inaonyesha hat kukopi tumeshindwa
Ukiangalia hapo woote walikuwa kwa maslahi ya nchi zao kizazi chetu kikaja na ubinafsi na wizi
walikuwa si watu wakupigia magoti wazungu sisi tunawapigia kila siku
N.K
[/URL]
 
Kamuzu Banda(kibaraka wa makaburu-traitor),.joseph kasavubu hovyo kabisa,........halaf umemsahau kagame na gaddaf(mwongeze plz)
 
Back
Top Bottom