Udhaifu TBC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udhaifu TBC

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mo-TOWN, Aug 9, 2012.

 1. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,626
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Kwa kweli namkumbuka Tido Mhando kwa kipindi kifupi alipokuwa TBC niliweza kujivunia sana chombo hiki...lakini si leo hii. Imagine coverage ya mashindano ya Olympic inanilazimu kujiunga na KBC...Kazi kweli. Hivi ni incompetence? Sidhani kama ni swala la finance. Nifahamisheni
   
 2. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  mabwege
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Yaani bado wanakuumiza kichwa? Nilishaachana nao zamani...
   
 4. P

  Prince Hope JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 2,167
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Hawana ishu tena.
   
 5. S

  Skype JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Simpendi Gabrieli Zakaria
   
 6. d

  danizzo JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yamekua hayo!
   
 7. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mi nilishaifuta kwenye tv yangu nakamata atv,channel 10,cnn,capital channel5
   
 8. m

  markj JF-Expert Member

  #8
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  hao ni mambwiga mbwiguke!
   
 9. W

  Wajad JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,123
  Likes Received: 293
  Trophy Points: 180
  Kuna watu wanaitwa visu humo unadhani na mapanga yatakosekana?
   
 10. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Hakuna taarifa ya TBC inayoweza kuisha bila neno kumradhi, wewe wachunguze tu.Hao ni mabwege acha kuwajadili tuombe katiba mpya iwatake wakurugenzi wa mashirika ya UMMA wateuliwe hata na rais lakini wathibitishwe na Bunge au watume CV kama sie tunavotuma kwenye tume ya ajira nao wafanyiwe usaili sijui udahili maana viswahili navo kila kukicha kila mtu anakuja na neno lake. Kwa kufanya hivo tutaweza kuwaondoa hata hao wote
   
 11. S

  Skype JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Nasisitiza kua TBC 1, 2, 3, 4, . . . zote ni mizoga.
   
 12. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #12
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Nchi hii hatuthamini wataalam hasa waliobobea kama siyo serikali basi sisi wananchi tutawatia ila hadi waondoke. kwa mifano miche tu
  Tulikuwa na brewer wa kwanza tz bw. ernest shelukindo alijiendea msumbiji na akafanya maajabu kule na huku TBL ikafa tukaiuza; kulikuwa na Simon Mhavile [marehemu] naye alikuwa eng mzuri akateuliwa kuwa GM wa Tanesco ikapigwa mizengwe akatolewa akajiendea botswana ambapo rais mkapa wakati huo alipotembelea nchi hiyo inasemekana rais wa botswana aliishukuru tz alishukuriwa sana kutokana na sifa alijizolea na bwana Tido pia mizengwe ilianza kuanzia usaili wake na katika kipindi chote cha uongozi wake. katika vitu alivyhonifurahisha ni kuwa hata vyoma vya siasa vilisifu jinsi alivyoweza kubalance news coverage za siasa. Huyu jamaa ni mzoefu, mbunifu na amekulia katika industry hii kuanzia mtangazaji wa kawaida hadi kufikia alipofikia lakini matokeo yake TBC sasa haina deal kabisa ni bahati tu kwa startime kuwepo na ubia na tbc [nao ni ubunifu wake] We waste the best to get the worst.
   
 13. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Huo ni wifu tuu. the young man is good given a chance he will go to places nilipenda sana interview na rais mstaafu benjamin mkapa body language ilikuwa nzuri, staili yake ya kuuliza maswali na muendelezo ili kumfanya anayezungumza naye aendelee kuzungumza [mkapa alikuwa anatabasamu muda mwing- the guy has no patient with mediocre.
  Kinachotakiwa ni kumencourage na kubainisha weakness zake ili aweze kuwa bora zaidi.
  Ache wivu ambao hauna maana. ukisema humpendi inawezekana sura yake but that is personal
  nNdugu zangu lets be objective kwenye criticism zetu kwani naona tunapenda ku criticise kila kitu na wengi wetu tu PHD kwenye fani hii.
   
 14. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #14
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  TIDO MHANDO- the BEST.
  CLEMENT MSHANA- the WORST.

  ha ha haaaa!!!!!! hakyanani. naiona Tanzania yangu kipenzi inapata mabadiliko ya kifikra haraka sana mithili ya miale ya mwanga inayosafiri.

  KUBWA ZAIDI TUFANYENI NA MABADILIKO YA SERIKALI UPESIUPESI ILI VIENDANE, HILI LI-SERIKALI LIME-FAIL.
   
 15. D

  DR. RICHARD Senior Member

  #15
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hilo mbona dogo, angalia kipindi cha magazeti asubuhi utaona wanasoma dondoo ya vicha vya habari kwenye magazeti mengine wakifika kwenye lile la chama wanaingia kwa undani kidogo, unaishia kuwaangalia na kujenga picha hiii kichwani 2015.
   
Loading...