Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nina amini kuwa, members wote wa Jf ni wasomi, na labda mwenye kiwango cha chini kabisa atakuwa kidato cha 4. Tumekuwa tukifundishwa na hata kufundisha kuwa "no research, no right to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani huu ni mgao au ndio mabomu ya kibamba!!!? mbezi ya kimara hamna umeme toka saa 7 usiku, je ni nchi nzima au?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huyo jamaa hapo juu aitwaye Kailash Singh (66) ametoa mpya kwa kukaa miaka 38 bila kuoga wala kunyoa ndevu. Kisa?Aliweka nadhiri kuwa ataoga siku akipata mtoto wa kiume. Singh ameingia kwenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rushwa imekithiri na itaharibu zoezi zima la sensa. Kijana aliyemaliza chuo kikuu kaomba ukarani wa sensa na majina yaliporudi katika kata yake jina likawa halipo. Msamaria mwema mmoja akamtonya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Napenda kutumia fursa hii kuwapongeza vijana wenzangu ambao mungu kawaona na kuwapa nafasi ya kuwa makalani wa sensa,pia haitokua busara km ctowajaza subira na uvumilivu kwa wale wote ambao...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimesikia mara nyingi kuna mikoa hapa Tanzania imeongezeka.Hivi sasa Tanzania ina mikoa Mingapi naomba msaada huo.Ingependeza mngenisaidia Ramani mpya ya Tanzania.
0 Reactions
1 Replies
975 Views
HIKI CHA KWETU NI CHA NYOKA UKIFANANISHA NA VICHWA HIVI! http://www.terra.es/personal2/monolith/0africa.htm wakuu hebu tuangalie vichwa hivi na tujiulize kama kunamrithi wake au kakizazi ketu ka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
10/8/2009 siku nisiyoisahau maishani baba yangu mlezi alienifkisha hapa nilipo,alienishauri pale nilipokosea alieakasirika [pale nilipoaribu zuri la kumkumbuka baba yangu huyu ni hekima aliokuwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna ajali mbaya imetokea maeneo ya Kihonda/Mkundi Morogoro,inasemekana kuna watu wamepoteza maisha na zaidi ya 40 kujeruhiwa!ajali hiyo imehusisha lorry,bus la Shabibby na bus lingine la Sumry...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nipo eneo la makuda kihonda Morogoro ambapo kunàjali ya mabasi matatu Shabiby, Sumry na Alis na lory moja. Kumekuwa na foleni kubwa sana kwani magari ya kutoka dodoma na yanayotoka dar...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kelvin Matandiko JESHI la Polisi kupitia kikosi cha Usalama barabarani nchini kimesema jumla ya ajali za pikipiki (bodaboda) 2601 zilizotokea kuanzia Januari hadi Juni mwaka huu zilisababisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Basi la Saibaba limeteketea kwa moto likitokea Dar kuja Mtwara. Aabiria wako salama mizigo yote imeteketea maeneo ya Mikindani - MTWARA
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Ndugu wana JF naomba Msaada Wa Kupat Jina La Wimbo Huu! Wimbo Unasikika Kipande Kidogo tu Kwenye Tangazo La Eid Katika Radio Clouds ni Wimbo wenye mahadhi Ya South Africa kuna Sauti ya Mdada...
0 Reactions
1 Replies
967 Views
Basi la Sabena aina ya Scania lenye namba za usajili T 570 AAM, lililopata ajali na kusababisha vifo vya watu 17 na wengine 78 kujeruhiwa. Watu 17 wamefariki dunia na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wakuu nimepata taarifa kuwa kuna ajali mbaya imetokea same kilimanjaro,aliyepo eneo la tukio atujuze kwa kina tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Leo katika kipindi cha Jambo - TBC wabunge wawili, wa kisarawe na mwingine, walikuwa wakiongelea kulinda ajira ya mtanzania. Walisisitiza sana 'ajira za watanzania' kutokufanywa na wageni. Swali...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wanajamvi? Naomba kufahamu juu ya Vocha Mpya ya Vodacom yenye thamani ya Tshs. 450/=. Nimepata mkasa wa kubishana na kufikia hatua kuonekana mkorofi dhidi ya wauzaji wadogo wa Vocha, kisa...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Magari hayo yenye thaman kwa ujumla wa $2.5mil...yamepaki palm residence! Haya sasa walimu na madakitaree kazi ni kwenu.
2 Reactions
134 Replies
10K Views
Malawi children falling victim to human traffickers Children from Malawi are being trafficked into neighbouring Tanzania to work as forced labour or in the sex trade Henry Mhango Children...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ukiangalia video hii Keynote Address: Joyce Banda, President of Malawi - YouTube dakika ya 34-36, utagundua kuwa Tanzania ina hazina kubwa kupitia Getrude Mongella katika jitihada za kumaliza...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom