Naomba jina La Wimbo Huuuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba jina La Wimbo Huuuu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mfupa2, Aug 10, 2012.

 1. m

  mfupa2 Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana JF naomba Msaada Wa Kupat Jina La Wimbo Huu! Wimbo Unasikika Kipande Kidogo tu Kwenye Tangazo La Eid Katika Radio Clouds ni Wimbo wenye mahadhi Ya South Africa kuna Sauti ya Mdada inasikika Akiimba Kwa Hisia Fulni alafu kuna Mapigo ya Kiafrica Kama vile Ngoma na Vionjo Vingine. Please kwa anayejua naomba anitajie jina la Msanii na Wimbo.

  Thanks
   
 2. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,329
  Likes Received: 3,120
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mfupa, tungependa kukusaidia. Labda uimbe tukusikie.
   
Loading...