Ajali Konde-Morogoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali Konde-Morogoro

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by 1800, Aug 10, 2012.

 1. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kuna ajali mbaya imetokea maeneo ya Kihonda/Mkundi Morogoro,inasemekana kuna watu wamepoteza maisha na zaidi ya 40 kujeruhiwa!ajali hiyo imehusisha lorry,bus la Shabibby na bus lingine la Sumry Source: Mimi mwenyewe nimepita hapo muda si mrefu
   
 2. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Jamani ajali zote hizi kwa nini. Ee Mola uwarehumu waliopatwa na matatizo haya kwa namna moja au nyingine.
   
 3. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jamani, kuna jinamizi gani hii nchi???? Asubuhi hii, tumepokea taarifa za ajali mbaya wami, sasa hii tena nini????? "MUNGU TUHURUMIE"
   
 4. C

  Campana JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  nadhani sio Konde, ni Mkundi. Majeruhi wamekimbizwa hosp ya mkoa
   
 5. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,337
  Likes Received: 1,044
  Trophy Points: 280
  basi jingine..... Lipi si ulitaje na source ni wewe mwenyewe unahitaji nini ili ufanikishe kujua hilo basi. Pia Moro hakuna Konde. Konde iko zanzibar...
   
 6. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Tobaa.... Eeh Mola ninaomba msamaha kwa ajili ya Taifa hili...
   
 7. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
   
 8. Bee hive

  Bee hive Senior Member

  #8
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Ni kweli hiyo ajali ya moro imetokea, japo sina uhakika sana ilihusu magari gani, maana aliyenipa taharifa bado hajatulia vizuri maana ni mmoja wa majeruhi kwenye basi lililokuwa likielekea mwanza
   
Loading...