Jamani naomba msaada

Ticha

Senior Member
Aug 26, 2007
135
8
Nimesikia mara nyingi kuna mikoa hapa Tanzania imeongezeka.Hivi sasa Tanzania ina mikoa Mingapi naomba msaada huo.Ingependeza mngenisaidia Ramani mpya ya Tanzania.
 
eeeeeeeh uuuuuuwiiiii mkuu rramani ni ileile ila wamejiongezea kula matumbo yao yashibe sijaona umuhim wa kuongeza mikoa
 
Back
Top Bottom