AJALI: Basi la Saibaba (Dar-Mtwara) laungua

Averos

JF-Expert Member
Aug 6, 2010
993
695
Basi la Saibaba limeteketea kwa moto likitokea Dar kuja Mtwara.

Aabiria wako salama mizigo yote imeteketea maeneo ya Mikindani - MTWARA
 
ajali kwa njia hiyo ni kwa mabasi kuungua ni la ngapi hilo? Majimoto huko wapi uje kutufafanulia1
 
kwa nini ajali za magali huwa zinatokea kwa msimu mmoja halafu miezi ile ile?? what is behinde these issues au ni coincidence tuu???
 
Haya mabasi ya Saibaba kwa taarifa tu ni kwamba popote utakapoliona tazama nyuma kwa juu upande wa kulia kuna kitambaa cheusi sijui cha nini,nilikua nabisha lakini ilibidi nitolee macho baadhi ya mabasi yao nikagundua ni kweli! Kuhusu hili la moto tusubiri tume iundwe!
 
Mkuu kiko kwa nje au kwa ndani? Sio kwamba nakubishia, i'm just curious!
 
Haya ni ya wale wahindi huwa hawafichi imani yao ya ushirikina
 
Mabasi ya saibaba yaendayo mtwara ni mabovu sana binafsi nimeshawahi kupanda badala kufika saa8 hadi saa 9 tulifika saa 4usiku.. Sumatra wanatakiwa wayakague vizuri haya mabasi
 
Haya mabasi ya Saibaba kwa taarifa tu ni kwamba popote utakapoliona tazama nyuma kwa juu upande wa kulia kuna kitambaa cheusi sijui cha nini,nilikua nabisha lakini ilibidi nitolee macho baadhi ya mabasi yao nikagundua ni kweli! Kuhusu hili la moto tusubiri tume iundwe!

Ni kweli mkuu,kuna siku nilimsikia dereva wa daladala anasema hiki kitu nikaanza kuyafuatilia kumbe kweli,kitambaa kipo nyuma ya gari upande wa kushoto juu
 
Back
Top Bottom