Jamaa akata miaka 38 bila kuoga kisa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamaa akata miaka 38 bila kuoga kisa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpayukaji, Aug 10, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  [h=3][/h]

  [​IMG]Huyo jamaa hapo juu aitwaye Kailash Singh (66) ametoa mpya kwa kukaa miaka 38 bila kuoga wala kunyoa ndevu. Kisa?Aliweka nadhiri kuwa ataoga siku akipata mtoto wa kiume. Singh ameingia kwenye kitabu cha maajabu ya dunia cha Guiness kuwa mtu anayeongoza kwa kunuka. Pamoja na yote hayo yeye hajali hadi apate mtoto wa kiume. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.
   
 2. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  [​IMG] Hiyo ndiyo picha ya jamaa ambaye alikata miaka 38 bila kuoga.
   
Loading...