We miss u great "kidume" samweli mbezi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

We miss u great "kidume" samweli mbezi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Aug 10, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,080
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  10/8/2009 siku nisiyoisahau maishani
  baba yangu mlezi alienifkisha hapa nilipo,alienishauri pale nilipokosea
  alieakasirika [pale nilipoaribu zuri la kumkumbuka baba yangu huyu
  ni hekima aliokuwa akiionyesha kwenye maisha ya familia yangu
  hakika kidume ulifanya kazi ,anatumaini hata familia yetu inakukumbuka
  kwa upendo na upole uliokuwa nao bilakubagua ...juhudi ulizozifanya kuhakikisha
  kila mtoto anaishi maisha mema ya hekima na faraja na zaidi ya kujua kujitegemea na familia yake
  shukran za pekee zimwendee mama yangu mrs mbezi kwa upendo wote aliouynyesha kwa baba yetu
  kipindi choote cha kuugua kwake
  naamini mungu wa rehema atamlipa akiwa hapa hapa duniani

  ni vigumu kufikiria lakini ilikuwa ni siku na saa kadhaa aliponiita na kuniambia najua unafanya kazi nzuri inakulipa vizuri kwa saa lakini ina muda na ukzeeka hakika unaonekana huna maana tena...mwanangu nenda kafanye kazi hii najua kichwa chako utoshindwa usijali malipo utakayomiss hii ni kwa sababu ya maisha ya ko ya mbele na familia yako

  dady mbezi leo naamini aliesikia mawazo yako akayadharau basi anataabikka,,,thanks dady leo napenda kuamini uliona maisha yangu miaka 10 ijayo tofauti nilivyoona ....fedha aikuw ana thamani zaidi ya hekima yako, mawazo yako leo naomba nikuite your ma great""kwenye familia yangu""""
  kwenye maisha yangu..hatuna cha kukulipa ila tunakuombea pumziko la amani ulale pema peponi

  mungu wa mbinguni awape neema na upendo watoto wote uliowaacha john,peter,kidumejr,ester, pauline na wote ..naamini upendo wako ndio uliotufikisha hapa tulipo....kimwili atuko nasi naamini kiroho tuko pamoja

  mungu wa mbinguni akupe raha ya milele na pumziko la amani
  amen
  wako
  kidume familly
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Poleni sana. Mungu wa mbinguni awape faraja. Let the good memories keep you going.
  Ila hujui kiswahili Pdidy, ngoja Zomba aje kuku-edit.
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,080
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,080
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  Kingast umeingia leo jf
  hii ndio didyswanglish brda reg no 33339/nautapiamo.3a
   
 5. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,067
  Trophy Points: 280
  Pole mkuu. Btw, hiyo "kidume" ni jina halisi au ni 'sifa' uliyoamua kumpa tu? Jus curious.
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,080
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  Mkuu kidume
  ni jina alilopewa kwa kuwa na hekima ya kutatua matatizo yote ya dunia unayoyajua ikiwemo
  wale jamaa zetu wa opp na kituo cha akiba .....subiri wakufukuze ntakwambia wanatwaje
  cmi
   
 7. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Pole sana Kiongozi. Mungu akupe moyo wa subira.
   
 8. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Pole mkuu, Mwenyezi Mungu amrehemu baba yenu mpendwa.
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Hahaha! Haya mkuu, mie kamba ya ugeni haijawahi kukatika!
   
Loading...