kuna hatihati NGOSWE anaweza kutokea tena mwaka huu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuna hatihati NGOSWE anaweza kutokea tena mwaka huu.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by yaser, Aug 10, 2012.

 1. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Napenda kutumia fursa hii kuwapongeza vijana wenzangu ambao mungu kawaona na kuwapa nafasi ya kuwa makalani wa sensa,pia haitokua busara km ctowajaza subira na uvumilivu kwa wale wote ambao hawakubahatika kupata nafasi hiyo lakini waliomba pia.mungu atawaona nanyi cku moja.tusema ameen...
  Nirudi kwenye mada husika,km nlivyoeleza kwenye kichwa cha habari hapo juu.kwa wale ambao walibahatika kukisoma kitabu cha NGOSWE PENZI kITOVU CHA UZEMBE miaka ya nyuma wanakumbuka jinsi NGOSWE alivyosababisha hasara ya kuungua kwa makaratasi ya sensa kwa kuendekeza mapenzi na msichana MAZOEA.hii inaweza hata kujirudia kwa kipindi hiki ambacho vijana wengi wanaendekeza sana mapenzi.kuweni makini kwenye hii kazi jaman.mkumbuke jinsi mnavyotaabika huko mtaani.serikali yenyewe mnaijua hii ukiharibu unweza ukaambiwa utumie pesa yko kutafuta upya hzo taarifa muhimu za sensa.
  Kwa hayo machache naona nisiwachoshe sana wapendwa wasomaji.
  Namalizia kwa kusema ramadhani njema na ijumaa kareem kwa ndugu zangu waislam ila pia nawatakia cku njema na kazi njema kwa woote.
  Asanteni sana.
   
 2. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Sensa ya watu na makazi ni muhimu sana kwa taifa lolote hapa duniani, ila nina mashaka na nafasi ya zoezi hili kwenye hii Tanzania chini ya serikali ya ccm. Binafsi najiuliza, hivi kwa mfano tu mdogo huu KAMA IDADI YA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI TANZANIA INAFAHAMIKA, BADO SERIKALI IMESHINDWA KUWAPATIA MADAWATI TU, SEMBUSE WATANZANIA TAKRIBANI MIL 40 WENYE MAHITAJI TOFAUTITOFAUTI?????????? ACHA KINA NGOSWE, MITOMINGI, MAZOEA na wengineo wajirudie, SERIKALI YENYEWE IKO WAPI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!???????????????????
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mzee MitoMingi(River Many)!!
   
Loading...