Serikali yanunua V8 25mpya kutoka Toyota!

Serikali sikivu ya sisiem!
Hebu bandika evidence kwanza usikute ni ya yule mwekezaji anayetafuta gesi/mafuta kule Mafia au Mtwara!!
 
Magari hayo yenye thaman kwa ujumla wa $2.5mil...yamepaki palm residence! Haya sasa walimu na madakitaree kazi ni kwenu.
Mkuu habari ya kufikirika au??toa picha mkuu maana serikali kwa kauri yake yenyewe ilisha sema kuyauza hata yaliyopo sasa hayo 25 yanini??Na Palm residence ni wapi mkuu?? King Kong III
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • V8 MPYA.jpg
    V8 MPYA.jpg
    64.2 KB · Views: 3,244
Safi sana
Nyie endeeleeni kugoma na kugoma
Serikali sikivu haina uwezo wa kuwalipa kiwango mnachotaka
 
Naona kama na usajili tiyari! Kupanga ni kuchagua..... Vipaumbele ni matumizi, oh sore matanuzi...!
 
The last time I checked Kikwete alisema ni mwisho wa kununua haya magari.
Just like he claimed to significantly reduce his tour trips abroad!
To my suprise, he still maintains a record if not to break his own.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom